Abdallah Saleh

Mchambuzi
Mchambuzi wa habari za mpira wa miguu katika kituo Times FM.
Uhamisho

Arda Turan kutimkia Uturuki

Kiungo mshambuliaji wa Barcelona ya Hispania anakaribia kujiunga na klabu ya Istanbul Basaksehir ya nchini Uturuki Istanbul Basaksehir inayoongoza kunako ligi kuu ya soka Uturuki wakiwa na alama 36, baada ya kushuka dimbani mara 17, wakipishana kwa alama moja na Garatasaray walio katika nafasi ya pili na alama zao 35,...
Mapinduzi Cup

Yanga yaizima Zimamoto 1-0

Mabingwa wa soka Tanzania bara Yanga sc, imeendeleza ubabe wake katika michuano ya kombe la mapinduzi baada ya kuitandika Zimamoto kwa bao 1-0 kwenye wa kundi B uliopigwa usiku huu kunako uwanja wa Amani, mjini Zanzibar Bao la Yanga limefungwa na kiungo wake wa ushambuliaji Emmanuel Martin kunako dakika ya...
Ligi Kuu

John Raphael Bocco nahodha mpya Simba sc

Vinara wa ligi kuu soka Tanzania bara Simba sc, imemteua mshambuliaji wake John Bocco kuwa nahodha mpya wa kikosi cha wekundu hao wa msimbazi, Bocco anachukuwa nafasi iliyoachwa wazi na Method Mwanjale ambaye alitemwa katika usajili wa dirisha dogo Taarifa ya klabu hiyo imesema kuwa, hatua ya kumpa unahodha John...
Blog

Taarifa kutoka TFF kuhusiana mechi daraja la kwanza

Kwanza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)  linapenda kumpongeza Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dr.Harrison Mwakyembe kwa ufuatiliaji wake wa karibu wa michezo ikiwemo Mpira wa Miguu. Baada ya mechi za Ligi Daraja la Kwanza (FDL)  Dodoma FC vs Alliance na Biashara vs Pamba kuliibuka malalamiko mengi ambayo...
Ligi Kuu

Ndanda dhidi ya Simba SC

Bila shaka utakuwa mchezo wenye ushindani mkubwa hasa kwa kuzingatia nafasi katika msimamo wa ligi, na uhitaji wa alama tatu ni changamoto kubwa kuelekea katika mchezo wa leo. Ndanda fc wapo nafasi 11 wakiwa na alama zao 11 hivyo wataingia katika mchezo wa leo kusaka alama tatu muhimu kwao ili...
Ligi Kuu

Nifikishie salamu zangu kwa Rais Karia

Kumekuwa na maneno mengi sana mitandaoni kila mtu akionesha ufundi wake wa kulaumu iwe kwa makusudi ama kwa kutoelewa vizuri taarifa iliyotolewa juu ya michezo ya ndondo kufanyika kwa kibali Wapo wanajaribu kuipotosha jamii.....lakini pia wapo wanaojaribu kuipa elimu jamii kuhusiana na taarifa hiyo iliyotolewa na Tff Tff kimekuwa chombo...
1 15 16 17
Page 17 of 17
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.