Abdallah Saleh

Mchambuzi
Mchambuzi wa habari za mpira wa miguu katika kituo Times FM.
EPL

Kane kuongoza Simba watatu

Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane, ametangazwa kuwa nahodha mpya wa kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia huko Urusi mwaka huu Kocha Gareth Southgate, amemteua Kane kuchukuwa nafasi hiyo kufuatia kutoa mchango mkubwa kunako klabu yake msimu huu Kane, ameteuliwa zikiwa...
Blog

Ngorongoro Heroes yatupwa nje

Timu ya taifa ya vijana ya chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes, imetupwa nje ya mbio za kuwania kufudhu kwa Fainali za U20, Afrika kufuatia kufungwa mabao 4-1 na wenyeji Mali kunako uwanja wa Omnisports Modibo Keita mjini Bamako Matokeo hayo yanaashiria kuwa, Tanzania imetolewa katika kinyang'anyiro cha...
Blog

Yanga yagonga mwamba kwa Salamba

Uongozi wa klabu ya Lipuli FC, ya Iringa, umewajibu viongozi wa Yanga kuhusiana na barua yao yenye ombi la kupatiwa mshambuliaji Adam Salamba ili akaisaidie timu yao katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika Ikumbukwe kuwa Yanga SC, walituma barua kwa uongozi wa Lipuli wakiomba wapatiwe mshambuliaji Adam Salamba, ili...
Blog

Yanga sc yavuna alama moja nyumbani

Yanga SC, imepata alama ya kwanza katika hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho Afrika kufuatia sare tasa ya bila kufungana na Rayon sports ya Rwanda, katika mchezo wa kundi D ulipigwa kunako uwanja wa taifa jijini Dar es salaam Sare hiyo, inaifanya Yanga kuendelea kuburuza mkia kunako kundi hilo...
Uhamisho

Mghana afanya maamuzi magumu Azam FC

Mshambuliaji raia wa Ghana, Bernard Althur, amevunja mkataba wake na klabu ya Azam FC ya jijini Dar es salaam baada ya kuitumikia kwa nusu msimu tu Althur ambaye Ghana alikuwa akiitumikia klabu ya Liberty Professionals, amevunja mkataba na timu hiyo ya Dar es salaam kwa kile kilichoelezwa kutopewa muda wa...
Shirikisho Afrika

Ten- mmoja tu ataukosa mchezo dhidi ya Rayon

Kikosi cha Yanga SC, kesho kitashuka kunako uwanja wa taifa kuvaana na Rayon Sports ya Rwanda katika mchezo wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho barani Afrika Kuelekea katika mchezo huo, Yanga itakosa huduma ya kiungo wake Said Juma "Makapu" akitumika adhabu ya kuwa na kadi mbili za njano...
Blog

Mambo yazidi kuwa magumu kwa Yanga SC

Wakati ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara ikielekea ukiongoni, hali imeendelea kuwa ngumu kwa kikosi cha Yanga SC, kufuatia kupoteza mchezo mwingine wa ligi hiyo jioni ya leo dhidi ya Mtibwa Sugar kwa bao 1-0 Kikosi hicho, kimevuna alama sufuri katika michezo yake miwili mfululizo kufuatia hapo awali kufungwa na...
Blog

Simba SC, yanogesha ubingwa wake

Pamoja na kwamba wameshatwaa ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kwa msimu huu wa 2017/18, Simba SC, wameendelea kuonesha lengo lao la kumaliza ligi hiyo bila kupoteza mchezo baada ya kuifunga Singida United kwa bao 1-0 Singida United, ilikuwa kunako dimba lake la nyumbani la Namfua Stadium iliruhusu...
Ligi Kuu

Yanga yajivua rasmi taji la ligi kuu

Simba SC, ndio mabingwa wapya wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara, mara baada ya waliokuwa mabingwa watetezi Yanga SC, kulivua rasmi taji hilo jioni ya leo kwa kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Tanzania Prisons mchezo uliopigwa kunako dimba la Sokoine mjini Mbeya Simba SC, wenye alama 65,...
1 2 3 4 5 17
Page 3 of 17