Abdallah Saleh

Mchambuzi
Mchambuzi wa habari za mpira wa miguu katika kituo Times FM.
Ligi Kuu

Nafasi ya Manji inatakiwa kujazwa

Shirikisho la soka nchini ( TFF) limeziagiza vilabu vya Coastal Union na Yanga sc, kufanya uchaguzi ili kuziba nafasi zilizoachwa wazi na viongozi wao waliojiuzuru. Kwa mujibu wa balua iliyotoka kwa kaimu Katibu mkuu wa Shirikisho hilo kwenda kwa Mwenyekiti wa Kamati ya uchaguzi ya Shirikisho hilo, Rovacatus Kuuli, imezitaka...
Kombe la Dunia

Timu ya taifa ya Ufaransa yapata pigo

Beki wa klabu ya Arsenal, Laurent Koscielny, atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi 6 kufuatia kuumia mguu Beki huyo, alipata maumivu katika mguu wake wa kulia katika mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya nusu fainali ya UEFA Europa League dhidi ya Atretico Madrid uliopigwa nchini Hispania...
EPL

Allegri aingia katika rada za Arsenal

IMASSIMILIANO Allegri ameunganishwa katika orodha ya makocha ambao wanahitajika kuchukua nafasi ya Arsene Wenger, pindi atakapo achana na klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu Juventus ina karibia kushinda Scudetto kwa msimu wa saba mfululizo, na ikimuacha Napoli nyuma ya pointi sita. Lakini uvumi ambao unaendelea unasema kwamba Allegri anaweza kuondoka...
Shirikisho Afrika

Yanga sc, yapotezwa vibaya Algeria

Yanga SC, wameanza vibaya hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho baada ya kukubali kichapo cha mabao 4-0 kutoka kwa USM Alger, katika mchezo wa kundi D uliopigwa kunako dimba la Julai 5, 1962 Mchezo huo, uliochezeshwa mwamuzi Daniel Nii Ayi akisaidiwa na David Laryea wote kutoka Ghana,...
EPL

Jurgen Klop kuendeleza ubabe wake kwa Chelsea?

Liverpool wanakwenda Stamford Bridge kuvaana na wenyeji wao Chelsea, katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza maarufu kama EPL, Liverpool wanaonekana wapo kwenye kiwango bora kwa sasa, lakini hii leo watatakiwa kudhihirsha ubora wao pale darajani Chelsea wanaikaribisha Liverpool baada ya kushindwa kutetea ubingwa wao wa ligi, ikiwa ni baada...
Ligi Kuu

Akilimali atoa neno la moyoni

Katibu wa Baraza la Wazee wa Yanga SC, Ibrahim Akilimali, ameweka wazi kuwa baadhi ya wachezaji walioshindwa kusafiri na timu kuelekea Algeria hapo jana kwa kusema kuwa wanaidai klabu hiyo Kikosi cha Yanga SC, kiliondoka jana Alasiri kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wa mzunguuko wa kwanza wa hatua ya...
Shirikisho Afrika

Yanga sc kuondoka leo

Kikosi cha Yanga sc, kinaondoka leo majira ya saa 9:00 za alasiri kuelekea Algeria kwa ajili ya mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika. Yanga sc, inakwenda kuvaana na USM Alger ukiwa ni mchezo wa kwanza hatua ya makundi utakaopigwa Jumapili ya wiki hii. Akizungumzia safari hiyo, Meneja wa timu...
Mabingwa Ulaya

Bayern Munich kubomoa rekodi ya Santiago Bernabeu

Bayern Munich wanaonekana ni vibonde kwa miaka ya hivi karibuni dhidi ya Real Madrid, katika michezo 6 ya hatua ya mtoano wamepoteza yote hii ni idadi kubwa kwao dhidi ya timu moja katika Uefa champions league Bayern Munich, katika michezo yao 13, ya hivi karibuni ya Uefa champions league wakiwa...
Ligi Kuu

Tff yaisubiri Simba sc

Baada ya kitecho alichofanya mlinzi wa Yanga sc, Kelvin Patrick Yondan, kumtemea mate Asante Kwasi katika mchezo wa ligi kuu Vodacom Tanzania bara dhidi ya Simba, Shirikisho la soka nchini (TFF) limetoa tamko Afsa habari wa Shirikisho hilo, Clifford Mario Ndimbo, amesema kuwa bado hawajapokea malalamiko kutoka klabu ya Simba...
1 2 3 4 5 6 17
Page 4 of 17