Abdallah Saleh

Mchambuzi
Mchambuzi wa habari za mpira wa miguu katika kituo Times FM.
Ligi Kuu

Jembe Ulaya alia na Kessy

Beki wa zamani wa Yanga sc, na timu ya taifa ya Tanzania Bakari Malima "Jembe Ulaya" amemtolea lawama mlinzi Hassan Ramadhan Kessy kufuatia kutolewa nje kwa kadi nyekundu katika mchezo dhidi ya mahasimu wao Simba Jembe Ulaya Kessy, alitolewa nje kwa kuoneshwa kadi ya pili ya njano na mwamuzi baada...
Ligi Kuu

Hii ndio ‘Derby’ ya Kariakoo kesho!

Kesho Kariakoo derby itapigwa kunako uwanja mkuu wa taifa jijini Dar es salaam, mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kati ya Simba SC, dhidi ya Yanga SC Hakika utakuwa ni mchezo wenye ushindani mkubwa kwa kutazamia ubora wa vikosi, uhitaji wa alama tatu na nafasi katika jedwari la...
Ligi Kuu

Jezi yenye ‘Usimba’ yamponza Zahera

Kocha mpya wa Yanga sc, Mwinyi Zahera, amelazimika kubadili mavazi ikiwa ni siku ya pili tangu kuanza rasmi kukinoa kikosi hicho cha mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Siku ya kwanza alipoanza kukinoa kikosi hicho kilichopiga kambi mjini Morogoro, alionekana akiwa amevalia jezi yenye rangi nyekundu ambayo hutumiwa...
Blog

Tanzania yachanua CECAFA U17

Timu ya taifa ya vijana waliochini ya umri wa miaka 17, ya Tanzania Serengeti boys, jioni ya leo imefanikiwa kutinga fainali ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika Mashariki na kati, CECAFA U17 Serengeti boys, imeingia hatua hiyo baada ya kuichapa Kenya kwa mabao 2-1 katika mchezo uliofanyika kunako...
Ligi Kuu

Yanga sc yazidi kuimarika kabla ya Jumapili

Mabingwa wa soka Tanzania bara, Yanga sc, wanaendelea na maandalizi yao ya mchezo dhidi ya mahasimu wao katika soka la Tanzania Simba sc utakaofanyika Jumapili ya Aprili 29, 2018 kunako uwanja mkuu wa taifa Taarifa kutoka Morogoro ambapo kikosi cha timu hiyo kimeweka kambi, zinasema kuwa wachezaji waliokuwa majeruhi Andrew...
Ligi Kuu

“Interview” ya Mrithi wa Lwandamina ni Jumapili hii

Uongozi wa Yanga sc, umemshusha nchini kocha Mwinyi Zahera kutoka Jamhuri ya Kidemoklasia ya Kongo, kwa ajili ya kujiunga na klabu hiyo Taarifa kutoka klabuni hapo, zinasema kuwa kocha huyo ataondoka kesho jijini Dar es salaam kwenda Morogoro ambako kikosi cha timu hiyo kimeweka kambi kujiandaa na mchezo ujao wa...
Ligi Kuu

Kuelekea mechi ya watani Yanga sc yapata pigo

Mshambuliaji wa mabingwa soka Tanzania bara Yanga sc, Obrey Chirwa, amefikisha idadi ya kuwa na kadi tatu za njano katika ligi kuu ya Vodacom Tanzania Mshambuliaji huyo tegemeo kunako kikosi cha Yanga kwa sasa, ataukosa mchezo ujao dhidi ya mahasimu wao katika soka la bongo Simba sc, unaotaraji kupigwa Aprili...
ASFC

Kuiona Singida United ni bure

Uongozi wa klabu ya Singida United, umeamua kuwapa zawadi mashabiki wake kwa kuwapa fursa ya kuingia bure katika mchezo wao wa kesho wa nusu fainali ya kombe la Shirikisho la Azam sports Federation Cup (ASFC) Singida United, inataraji kushuka kunako uwanja wake wa nyumbani wa Namfua Stadium kuwakaribisha maafande wa...
Blog

Tanzania yainyamazisha Sudan

Timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Serengeti boys, imepata ushindi mnono wa mabao 6-0 dhidi ya Sudan katika mchezo wa kombe la mataifa ya Afrika mashariki na kati CECAFA inayoendelea nchini Burundi Kwa matokeo hayo, yanaifanya Serengeti boys kufuzu hatua ya nusu fainali...
1 3 4 5 6 7 17
Page 5 of 17