Abdallah Saleh

Mchambuzi
Mchambuzi wa habari za mpira wa miguu katika kituo Times FM.
Blog

Hatma ya kigogo wa TFF kujulikana kesho

Rufaa ya aliyekuwa Makamu wa raisi wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF), Michael Richard Wambura, inataraji kusikilizwa kesho Jumamosi Machi 31, 2018 katika ofisi za Shirikisho hilo Kwa mujibu wa Wakili Emmanuel Muga anayemtetea Wambura, alisema kuwa wameshapokea barua ya kuitwa inayomtaka Wambura aende na utetezi wa maandishi ama njia...
Blog

Takukuru yakamilisha upelelezi wa kesi ya vigogo TFF

Upelelezi wa kesi ya utakatishaji fedha wa dola za Kimarekani 375,418 inayomkabili raisi wa zamani wa Shirikisho la soka nchini (TFF), Jamal Emily Malinzi, na wenzake umekamilika kunako Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Mwendesha mashitaka wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Takukuru, Leonard Swai, amemuelezea Hakimu Mkazi Kisutu...
Ligi Kuu

Simba sc yapata pigo

Kiungo wa klabu ya Simba, Jonas Mkude huenda akakosekana uwanjani kwa takribani wiki moja baada ya kuumia kifundo cha mguu akiwa mazoezini Klabu hiyo, imekuwa ikifanya mazoezi yake kunako uwanja wa Boko veterani jijini Dar es salaam, ikijianda na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Njombe mji FC unaotaraji kupigwa...
Blog

Stars yatakata nyumbani

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa stars jioni ya jana imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya taifa ya Jamhuri ya kidemoklasia ya Kongo, katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa kunako uwanja wa taifa jijini Dar es salaam Mchezo huo wa kalenda ya FIFA, ulishudiwa dakika...
Blog

Kipa aliyefungwa Nne na Algeria langoni dhidi ya DRC

Kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Tanzania "Taifa stars ", Mzanzibar Hemed Suleiman "Morocco", amesema kuwa maandalizi yao ya mchezo wa kesho dhidi ya Congo yamekamilika yameenda vizuri lakini akaweka wazi kuwa mchezo hautakuwa mwepesi. Kocha huyo, ameyasema hayo ikiwa imesalia siku moja kabla ya mchezo huo wa kimataifa...
Uhamisho

Mjerumani kurithi mikoba ya Wenger

Meneja wa zamani wa klabu ya Borussia Dortmund Thomas Tuchel, amejitokeza hadharani baada ya kusema kwamba yupo tayari kuchukua nafasi ya kocha wa Arsenal, Arsene Wenger pindi akiachana na timu hiyo. Ripoti kamili inaeleza kwamba kocha huyo wa zamani wa Dortmund, amepeleka ombi lake la kuhitaji kuifundisha Arsenal wakati ambapo...
Uhamisho

Kun Aguero kuimwaga Manchester City

NYOTA wa Manchester City Sergio Kun Aguero, ameeleza kwamba ataondoka klabuni hapo mwaka 2020 na kurejea kunako klabu ya nyumbani kwao. Aguero mwenye miaka 29, amebakiza misimu miwili tu kutimka katika Ligi kuu ya England. Muargentina huyo amesema atarejea kunako timu ya Independiente, ambapo ndio ilimtoa kabla ya kujiunga na...
Blog

Nyamlani alamba shavu TFF

Kamati ya utendaji ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF), imemteua Ndg Athuman Nyamlani kuwa kaimu Makamu wa Rais wa shirikisho la hilo Nyamlani anachukua nafasi ya Michael Richard Wambura aliyefungiwa maisha na kamati ya maadili kutojihusisha na masula ya mpira, Ingawa Michael Richard Wambura amekata rufaa katika kamati...
Blog

Mayanga akanusha uvumi ulioenea

Kocha mkuu wa timu ya Tanzania, Salum Mayanga amekanusha vikali juu ya taarifa iliyosema kuwa yeye hakufanya uteuzi wa kikosi cha timu hiyo Mara baada ya Stars kupoteza mchezo kwa kufungwa mabao 4-1 hapo jana, mapema Leo Asubuhi kulizuka taarifa inayoeleza kuwa Mayanga hakuhusika katika uteuzi wa kikosi Mayanga amesema...
Shirikisho Afrika

Hawa ndio wababe wa Zamalek, Yanga atatoka?

"Mzarau mwiba Mguu huote tende"........huo ni usemi wa kiswahili ambao Wahenga walituachia kwa lengo la kutoa elimu ama mafunzo, juu ya kukabiliana na changamoto mbalimbali kunako maisha yetu ya kila siku, pia methali ama usemi huu utukumbusha juu ya jambo lilitokea ama linalofuata ili kukabiliana nalo kwa tahadhari na umakini...
1 6 7 8 9 10 17
Page 8 of 17