Baraka Mbolembole

Mwandishi na Mchambuzi mkongwe na aliyebobea katika familia ya kandanda. Baraka anandika habari na uchambuzi wenye tafakari na jicho la tatu ndani yake. Ukimuelewa utapata ‘madini’ mazuri kutoka kwake, kwake yeye ‘spedi’ ni ‘spedi’ na ‘kijiko’ ni ‘kijiko’.
Blog

Samatta wa Genk ndiye wa kuibeba Stars vs Cape Verde.

MIAKA miwili iliyopita timu ya Taifa ya Visiwa vya Cape Verde ilikuwa miongoni mwa Mataifa matatu bora katika viwango vya soka barani Afrika, na Ijumaa hii timu ya Taifa ya Tanzania ´Taifa Stars´ itaikabili nchi hiyo ndogo ya Magharibi mwa Afrika katika mchezo wa kundi la saba kuwania tiketi ya...
Blog

Goli la ‘video’ la Ajib vs Mbao, ni mwanzo wa majibu ya fimbo tulizomchapa?

Kwanza unapaswa kumlaumu mlinzi wa Mbao Fc, Amos Charles . katika mazingira ambayo hakuwa katika presha yoyote anapoteza kujiamini- sijui kwanini wakati katika mtazamo wangu wa kimpira walitawala mechi ya jana katika uwanja wa Taifa. Kwa mlinzi ambaye timu yake ilicheza mbali na goli lake huku wakipokea mashambulizi machache yaliyokosa...
Blog

Kichuya ni ile ngoma ivumayo sana, sasa yaelekea kupasuka?

ACHANA na nafasi ya wazi aliyopoteza kwa kushindwa kutulia na kufunga kwa kichwa mwanzoni mwa kipindi cha kwanza katika mchezo wa ‘Dar es Salaam-Pacha’ siku ya Jumapili iliyopita, winga wa Simba SC, Shiza Kichuya anapaswa kujitazama upya kiuchezaji ili asiendeleee kuporomoka. Kwa dakika 62 za mchezo wa ligi kuu dhidi...
Blog

Yondan si Roy Keane, anapaswa kupevuka sasa.

INAKERA sana pale unapocheza kwa nguvu na kujitolea kwa ajili ya kuisaidia timu yako ipate ushindi- alafu unaona mchezaji mwenzako anapoteza mpira ´kizembe´ huku pia akipitwa kirahisi. September 2002 niliwahi kuona moja ya maamuzi ya kushangaza na yaliyonifanya nimfuatilie sana Roy Keane. Katika pambano la ligi kuu England, nahodha huyo...
BlogUhamisho

Batambuze atua Gor Mahia, Manyika anakaribia Leopards

Wakati ripoti ya Singida United ikisema wachezaji waliojiweka kando klabuni hapo kwa madai ya kimaslai watarejea kuendelea na majukumu yao, mlinzi wa pembeni raia wa Uganda, Shafiq amejiunga na mabingwa mara nne mfululizo wa Kenya- Gor Mahia FC. Wakati mlinzi huyo bora wa kushoto katika ligi kuu Tanzania Bara msimu...
1 9 10 11 12 13 14
Page 11 of 14