Baraka Mbolembole

Mwandishi na Mchambuzi mkongwe na aliyebobea katika familia ya kandanda. Baraka anandika habari na uchambuzi wenye tafakari na jicho la tatu ndani yake. Ukimuelewa utapata ‘madini’ mazuri kutoka kwake, kwake yeye ‘spedi’ ni ‘spedi’ na ‘kijiko’ ni ‘kijiko’.
Blog

Si sahihi Zahera na Morocco kuwa Viraka

Wakati mataifa mbalimbali ya Afrka yakiwa katika maandalizi ya kucheza michezo ya kuvufuzu kwa CA 2019-Cameroon, baadhi ya makocha wa klabu wamejumuika na timu hizo za Taifa. Mwinyi Zahera raia wa Congo DR ambaye ni kocha mkuu wa Yanga SC amerejea kwao kujumuika na timu yake ya Taifa, pia Hemed...
Ligi Kuu

Ukweli huu kuhusu Mo Banka umefichwa?

Mara baada ya leo kuandika makala kuhusu kiungo Mohamed Issa ‘Banka’ na kuhoji kwanini hayupo klabuni Yanga licha ya kusainiwa karibia miezi miwili sasa, ukweli ambao umepatikana ni kwamba mchezaji huyo wa Zanzibar amefungiwa kucheza soka kwa mwaka mmoja na Shirikisho la soka Afrika-Caf. >>Mohamed Issa ‘Banka‘ ni usajili mwingine...
1 12 13 14
Page 14 of 14