‘Ant-football’, ‘counter attack’ msaada wa mwisho wa Stars AFCON2019
Tanzania ‘Taifa Stars’ Jumapili hii inataraji kucheza mchezo wake wa kwanza wa fainali za kombe la Mataifa ya Afrika baada ya kupita Zaidi miaka 39 kwa kuwavaa washindi wa pili wa michuano hiyo.