Mabingwa Afrika

DRFA yaipongeza Simba SC.

Chama cha soka mkoa wa Dar es Salaam kimeipongeza klabu ya soka ya Simba kwa kufanikiwa kutinga hatua ya makundi ya ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa jumla ya mabao 4-3 dhidi ya Nkana FC ya nchini Zambia. Akitoa pongezi hizo kwa niaba ya DRFA katibu mkuu Msanifu...
LigiLigi Kuu

Zahera akwea pipa, hiki ndicho alichokisema kwa mashabiki.

Kocha mkuu wa Yanga, Mkongoman Mwinyi Zahera amewaomba mashabiki wa timu hiyo kuwa watulivu na kutosikiliza maneno ya mtaani yanayosema kwamba ameikacha timu hiyo na kurejea nyumbani kwao. Zahera amesema ni kweli anaondoka nchini na anaelekea nchini Ufaransa ambapo atakuwepo huko kwa ajili ya kufuatilia biashara zake na amepanga kurejea...
Blog

Samatta kukutana na Slavia Prague, ligi ya Uropa.

Klabu ya soka ya KRC Genk anayocheza mtanzania Mbwana Ally Samatta imepangwa kucheza na Slavia Prague ya Jamhuri ya Cheki katika hatua ya 32 ya michuano ya Europa Ligi. Genk ambayo ilimaliza kinara wa kundi I ambalo lilikuwa na timu ngumu kama Malmo na Beskitas imepangwa kukutana na miamba hiyo...
LigiUhamisho

Hawa ndio waliosajiliwa/ kuondoka Alliance Sch FC

Klabu ya soka ya Alliance School ya jijini Mwanza imetoa taarifa ya usajili walioufanya katika dirisha dogo la usajili ambalo limefungwa usiku wa kuamkia leo. Katika taarifa hiyo iliyotolewa na Afisa Habari Jackson Luka Mwafulango, imeonesha kuwa Alliance imewasajili wachezaji watano akiwemo mshambuliaji wa kutegemewa wa Stand United ya Shinyanga...
Mataifa Afrika U17

Ninje, Amunike waongoza kliniki ya kusaka vipaji Mwanza.

Shirikisho la soka nchini ‘TFF’ limendesha kliniki ya kusaka vipaji vipya kwa vijana iliyofanyika kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza, kliniki ambayo imeendeshwa na kusimamiwa na Mkurugenzi wa ufundi, Ammy Conrad Ninje na kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Emmanuel Amunike. Kliniki hiyo ambayo imehusisha vituo vya kulea...
1 12 13 14 15 16 34
Page 14 of 34