Ligi Kuu

Nyangi: Kumaliza chini ya Lipuli, Singida United ni aibu!

Katibu mkuu wa klabu ya soka ya Stand United Kenny Nyangi amesema klabu haijaridhishwa na nafasi ambayo wameishika katika msimu wa ligi kuu soka Tanzania Bara uliofikia tamati Jumatatu ya Mei 28, 2018. Nyangi amesema kama klabu ni lazima wajiulize kwanini wamemaliza katika nafasi ya chini kuliko timu za Lipuli...
Ligi Kuu

Beki wa Stand United akanusha kuzungumza na Azam, Yanga

Beki wa pembeni wa Stand United Miraji Makka amekanusha tetesi za kuhusishwa kujiunga na timu za Azam na Yanga na kusema kwamba mpaka sasa hakuna timu yoyote kati ya hizo ambazo zimemfuata kutaka kuzungumza naye. Akizungumza na mtandao huu akiwa anajiandaa kwa ajili ya kucheza na Ndanda katika mchezo wa...
Blog

Waziri Mkuu ashiriki zoezi la ujenzi wa uwanja mpya Lindi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki kazi za ujenzi wa uwanja mpya wa michezo wilayani Ruangwa kwa kubeba zege na matofali pamoja na wananchi. Waziri Mkuu ambaye pia ni mbunge wa Ruangwa, ameshiriki zoezi hilo leo (Ijumaa, Mei 25, 2018) kwenye uwanja huo unaojengwa katika kijiji cha Dodoma, kata ya Nachingwea,...
Mabingwa Ulaya

Salah atengua Saumu, kisa Real Madrid

Daktari wa klabu ya soka ya Liverpool Ruben Pons amethibitisha kuwa mshambuliaji Mohamed Salah hatofunga Ramadan leo wala kesho katika kuelekea mchezo wao wa fainali ya ligi ya Mabingwa barani Ulaya dhidi ya Real Madrid. Salah ambaye ni Muislam alikuwa katika mfungo toka Mei 16 lakini sasa imebainika kuwa hatofunga...
Mabingwa Ulaya

Mane atuma zawadi kwa wakazi 300 kijijini kwake

Mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane amewapa zawadi wakazi wa mji wa Bambali mjini Senegal (Mji aliokulia) wa fulana 300 kwa ajili ya kuzivaa wakati Liverpool itakapokuwa uwanjani kucheza na Real Madrid katika fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya kesho. Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 26 amegawa fulana hizo...
Blog

Ronaldinho kuoa wanawake wawili kwa mpigo katika jumba lake mjini Rio

Mwanakandanda mashuhuri Ronaldo de Assís Moreira maarufu kama Ronaldinho anatarajia kuoa wanawake wawili kwa pamoja katika jumba lake la kifahari huko Brazil kwa mujibu wa mirror. Mchezaji huyo wa zamani wa Barcelona na AC Milan ameripotiwa kuwa anafunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Priscilla Coelho pamoja na mpenzi...
EPL

Unai ashauriwa kuwaruhusu wachezaji nane, akiwemo Iwobi

Mchezaji wa zamani wa Chelsea Tony Cascarino amemshauri kocha mpya wa Arsenal Unai Emery kuwaondoa wachezaji nane kikosini akiwemo mshambuliaji wa Mnigeria Alex Iwobi. Cascarino anaamini kwamba mchezaji Iwobi mwenye umri wa miaka 22 hawezi kuimarika zaidi ya kiwango chake cha sasa na anatakiwa kuondolewa kikosini. "Sidhani kama Iwobi anaweza...
Blog

Iniesta kumfuata Podolski

Nyota wa Uhispania Andres Iniesta anatarajiwa kutangaza ndani ya siku mbili zijazo kujiunga na klabu ya Vissel Kobe ya nchini Japani baada ya kutangaza kustaafu katika klabu yake ya Barcelona. Iniesta ambaye angeweza kukaa Barcelona licha ya umri wake kusogeza, anaweza kufuata njia ya mchezaji mwenzake Xavi ambaye naye alijiunga...
EPL

Uongozi Arsenal wataja sababu za kumteua Unai Emery

Uongozi wa klabu ya soka ya Arsenal umetoa ufafanuzi wa kwanini wameamua kumteua kocha Unai Emery kuchukua mikoba ya kocha Arsene Wenger ambaye ameondoka klabuni hapo msimu huu licha ya Mikel Arteta kupewa nafasi kubwa zaidi. Stan Kroenke ambaye anamiliki hisa kubwa zaidi katika klabu hiyo yenye maskani yake jijini...
Uhamisho

Rasmi, Ulimwengu ajiunga na Al Hilal ya Sudan

Klabu ya soka ya Al Hilal ya Sudan kupitia ukurasa wao wa Facebook, imethibitisha kumnasa mshambuliaji wa Tanzania Thomas Ulimwengu ambaye hakuwa na timu kwa kipindi kirefu sasa toka avunje mkataba na AFC Eskilstuna ya Sweden kutokana na kukumbwa na majeraha ya mara kwa mara. Al Hilal wamesema kuwa mchezaji...
1 30 31 32 33 34
Page 32 of 34