Wakiondoka na ndege ya Shirika la ndege la Tanzania "Air Tanzania" msafara huo umeonekana ukiwa na hamu kubwa ya kurudi na kombe la ubingwa wa Shirikisho
Aidha Feisal pia amesema hawezi tena kurudi Yanga kwani hana uhuru tena na hafurahii kufanya kazi na Wananchi hivyo ni vyema akaruhusiwa kuondoka zake akacheze sehemu nyingine.
Tangu nipo Tanzania mechi niliyocheza ikiwa na mashabiki wengi ni mechi ile ya juzi dhidi yao (fainali dhidi ya USM Algier), watu walikuwa wengi ni walitusapoti sana
Tangu Forbes waanze kuchapisha orodha ya timu zenye thamani kubwa zaidi za kandanda duniani mwaka 2004, ni Real Madrid na Manchester United pekee ndizo zimeorodheshwa katika tano bora