Hawa Wachambuzi wa Mpira wa Nchi hii kila mtu ana namna yake ya kujitafutia Ugali wake! Wengine wanatafuta kwa njia za kawaida wengine wanatafuta kwa njia ya kuchafua taswira ya wengine
Biashara ya mpira ni biashara tofauti na biashara nyingine sababu hii inataka upate matokeo uwanjani, kama unapata matokeo ya ushindi basi unaonekana unapata faida na si vinginevyo.