tpluhamisho

Mbadala wa Kapombe

Zana Coulibaly, beki wa kulia, atambulishwa rasmi na klabu ya Simba leo hii.  Zana anakuja kuongeza nguvu katika nafasi ya Shomari Kapombe ambae ni majeruhi sasa. Uchambuzi zaidi kufuata.......
tetesiuhamisho

Humoud apata timu

Baada ya kuondolewa katika klabu ya KMC, Humoud Abdulkarim Ali, , kwa sababu nyingi ikiwemo kusumbua wake za wachezaji wenzake, inasemekana amepata timu. Tetesi ambazo tumepata zinasema Humuod atajiunfa na klabu ya Coastal Union kutoka Tanga. Humud alitolea maelezo tuhuma alizopew na KMC na kuzikana zote....
blog

Beno na Zayd wagongana mazoezi

Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” inaendelea na maandalizi yake ya mchezo wa kuitafuta tiketi ya kufuzu Afcon 2019 dhidi ya Lesotho utakaochezwa Novemba 18,2018 Maseru,Lesotho. Katika mazoezi hayo golikipa Beno Kakolanya na mshambuliaji Yahya Zayd walipumzishwa baada ya kugongana,taarifa ya madaktari wachezaji hao wataendelea na mazoezi kuanzia kesho....
blog

Samatta uwanjani leo tena katika Europa

Group D: Fenerbahçe v Anderlecht Group G: Spartak Moskva v Rangers Rapid Wien v Villarreal Group H: Apollon v Eintracht Frankfurt, Lazio v Marseille Group I: Malmö v Sarpsborg Genk v Beşiktaş Group J: Krasnodar v Standard Liège Akhisar v Sevilla Group K: Astana v Jablonec Dynamo Kyiv v Rennes...
blog

Samatta: Ni kawaida tu!

Nahodha wa timu ya Taifa, Mbwana Samatta, amenukuliwa akisema kukosa penati ni jambo la kawaida kwa mchezaji, na kwake yeye ilibidi afanye jitihada ili kufuta makosa yake. Samatta alikosa penati iliyopatikana katika dakika ya 21, baada ya Simon Msuva kudondoshwa eneo la hatari. Mpira wake uligonga mwamba na kurudi uwanjani....
blog

Burudani kutoka Uwanja wa Taifa

Mpira ukamalizika kwa 2-0 Samata anatokacanaingia Mandawa Dakika 5 zimeongezwa Mpira unaendelea bado matokeo ni yaleyale, dakika ya 44 kipindi cha pili Mbwana Samatta ametolewa nje kwa maumivu, anatibiwa. Mpira burudani kabisa hapa uwanja wa Taifa, Amunike anajionnyesga utaalamu wake, Mashabiki hapa wanatamani Mkude angekuwepo... hata hivyo Fei Toto, Nyoni,Himid...
blogmashindano

TPDC mabingwa wa Kandanda Day 2018

Tamasha la Kandanda Day limehitimishwa kwa TPDC kutawazwa mabingwa wapya wa Kandanda Day kwa mara ya kwanza baada ya kombe hilo kushindaniwa na timu kutoka katika kundi la Kandanda la Facebook. TPDC iliingia Fainali baada ya kufanikiwa kushinda kwa mikwaju ya penati 7-6 dhidi ya Mikocheni Veterans, ambao waliamua kuondoka...
1 2 3 4
Page 1 of 4
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz