Sekwao Mwendi

Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika kitivo cha uandishi wa habari. Alijiunga na timu ya kandanda mwishoni mwa mwaka 2018. Anaandika kwa kuchambua kiundani na kutoa elimu tosha katika tasnia ya mpira wa miguu nchini.
Ligi Kuu

‘Battle 8’ ninazotarajia kuziona Yanga dhidi ya Simba.

Tangu mwaka 1965, Simba na Yanga wamecheza mechi 101, Yanga akishinda michezo 36, sare 35 na kufungwa mechi 30. Simba akishinda michezo 30, akitoa sare mara 36 na kupoteza michezo 36. Yanga imejikusanyia alama 143 huku Simba ikijikusanyia pointi 125 katika michezo yote 101 waliyokutana, je Simba kupunguza “gap” la alama au Yanga kupanua gap hilo? tukutane taifa.
Mabingwa Afrika

Baada ya kuteuliwa na CAF, Ndimbo atoa neno…

Shirikisho la Soka Afrika CAF lilimteua Ofisa habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Cliford Mario Ndimbo kuwa Ofisa habari wa Caf katika mchezo wa klabu bingwa Afrika namba 99 kati ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini na Asec Mimosas ya Ivory Coast utaopigwa nchini Afrika Kusini Februari Mosi katika...
1 7 8 9 10 11 14
Page 9 of 14