Ligi Kuu

Simba sc yaishusha Azam Fc

Sambaza kwa marafiki....

Simba imeendeleza wimbi la kula viporo na sasa ilikua ni zamu ya Kmc katika dimba la CCM Kirumba Mwanza na kufanikiwa kupata ushindi wa mabao mawili kwa moja.

Baada ya ushindi huo sasa Simba imefanikiwa kupanda mpaka nafasi ya pili na kuishusha Azam fc iliyokua imeweka makazi yake nafasi ya pili kwa muda mrefu.

Sasa Simba inafikisha alama 66 sawa na Azam lakini wao wakiwa na wastani mzuri wa mabao ya kufunga na kufungwa.

Tazama hapa msimamo:

#TimuPWDLGDPts
13829636293
23827562986
338211253375
438131691555
53814816250
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.