AFCONTanzania Kwa Amrabat, Chama na Mayele!Tigana Lukinja6 months agoni juu zaidi kulinganisha na sisi pia wana wachezaji wengi sana ambao wanacheza Ligi kubwa Afrika na nje ya bara hili.
AFCONJijji Gani Fainali za AFCON 2027 ipigwe?Vicent Crement7 months agoJe unadhani kwa miji hii teuliwa, mji gani unafaa kupata hadhi ya mchezo wa Fainali za AFCON 2027? Vote Now.
AFCONAFCON 2027, Tutafaidika PakubwaVicent Crement7 months agoBaada ya Miaka 51 Kombe la Mataifa ya Afrika linarudi tena katika ukanda wa Afrika Mashariki, baada ya kufanyika nchini Ethiopia.
AFCONSio tu Kufuzu Lakini Tumeionyesha Afrika Rangi Nne!Tigana Lukinja7 months agoMada kuhusu kupeperusha bendera yetu pale Ivory Coast ndio imeanzia hapa na sisi tunasimama nayo.
AFCONAfcon!? Twenzetu Tena na Hawahawa Tulionao!Tigana Lukinja8 months agoNdio ni hii Taifa Stars ambayo tulicheza AFCON 2019 baada ya kushinda mchezo wetu dhidi ya Uganda ndani ya Mkapa Stadium leo kwanini isiwezekane?
AFCONTaifa Stars: Tunaitaka Afcon ya Ivory Coast.Mwandishi Wetu8 months agoStars watashuka dimbani nchini Algeria kusaka alama moja tu ambayo itawafanya kufuzu katika kundi hilo sambamba na Algeria na kuwaacha Uganda na Niger
AFCONClatous Chama Akubali Yaishe kwa Kocha wa ChelseaMwandishi Wetu10 months agoMwamba wa Lusaka alikuwa akizungumza kwenye Facebook moja kwa moja "live". Mchezaji huyo wa Simba SC
AFCONNi Hesabu Ngumu na Roho Ngumu Ndio Vitaipeleka Stars Afcon.Vicent Crement10 months agoMwisho tutasema Am Sorry and Thank You Uganda. Ni ngumu lakini inawezekana. Let’s go Taifa Stars.
AFCONTaifa Stars Yatakata kwa MkapaMwandishi Wetu10 months agoMchezo wa mwisho wa kufuzu Afcon utapigwa baadae September na hivyo kuamua hatma ya Watanzania kushiriki Afcon kwa mara ya tatu
AFCONCAF yaipa tarehe ya Afcon Tanzania.Mwandishi Wetu1 year agoKwa Tanzania sasa inatafuta kufuzu kwa mara ya tatu na mara ya mwisho kushiriki michuano hiyo ilikua ni mwaka 2019 ambapo tuliaga mashindano katika hatua ya makundi