Yanga yagonga mwamba kwa Salamba
Uongozi wa klabu ya Lipuli FC, ya Iringa, umewajibu viongozi wa Yanga kuhusiana na barua yao yenye ombi la kupatiwa mshambuliaji Adam Salamba ili akaisaidie timu yao katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika Ikumbukwe kuwa Yanga SC, walituma barua kwa uongozi wa Lipuli wakiomba wapatiwe mshambuliaji Adam Salamba, ili...