Yanga kujipima kwa Singida kabla ya kuwavaa Ditcha
Kocha mkuu wa Yanga sc, George Lwandamina amepanga kuutumia mchezo wa kesho dhidi ya Singida United kuwa sehemu maandalizi ya kikosi chake kuelekea katika mchezo wa marejeano na Wolaita ditcha Jumanne ijayo Aprili 17, 2018 Yanga inataraji kuvaana na Singida United kesho, kunako uwanja wa taifa jijini Dar es salaam...