Mechi ya Mbeya City yapigwa kalenda
Mechi namba 199 ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Mbeya City na Yanga iliyopangwa kufanyika Mei 1, 2018 kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya itapangiwa tarehe nyingine, hii ni kwamujibu wa taarifa kutoka TFF. Uamuzi wa kuipangia tarehe nyingine ni kukidhi matakwa ya Kanuni inayotaka nafasi kati...