Ligi

Habari za Ligi Kuu maarufu Duniani Ligi Kuu (Premier League) hivyo hapa tunakuletea mkusanyiko wa uchambuzi na matukio yanayohusu Ligi Kuu pekee pamoja na Ligi Kuu Tanzania Bara (Ligi Kuu)

EPL

Licha Ya Arsenal Kushinda, Bado Ina Mapungufu

Jana tulishuhudia Pierre-Emirick Aubameyang akicheza mechi yake ya kwanza akiwa na jezi ya Arsenal. Mechi hii Pierre-Emirick Aubameyang alifanikiwa kufunga goli akipokea pasi kutoka kwa Henrikh Mkhitaryan ambaye alitoa pasi tatu za magoli kwenye mechi hii. Mechi hii Arsenal alicheza katika mfumo wa 4-2-3-1, mfumo ambao ulimwacha Pierre-Emirick Aubameyang kuwa...
EPL

Pep Akataa Kumlaumu Sterling, Sanchez na Lukaku Waibeba Man U

Kocha wa Manchester city Pep Guardiola, amekataa kumlaumu mshambuliaji wake Raheem Sterling baada kikosi chake kushindwa kupata ushindi dhidi Bunley huku mshambuliaji huyo akikosa nafasi ya pekee. Ikiwa mbele kwa bao 1-0 na dakika 18, zikisalia ili mchezo huo kumalizika, Sterling alishindwa kufunga akiwa ndani ya sita baada ya kupokea...
Ligi Kuu

Coastal Union, KMC zatinga ligi kuu

Vilabu vya Coastal Union ya Tanga, na KMC ya Kinondoni Jijini Dar es salaam jioni ya leo zimepata nafasi ya kupanda ligi kuu ya soka Tanzania bara msimu ujao. Coastal Union imekata tiketi hiyo baada ya kuitandika Mawenzi market kwa 2-0 katika mchezo uliofanyikwa kwenye dimba la Jamhuri mjini Morogoro....
EPL

Sajili Bora za Dirisha Dogo Msimu huu

Dirisha dogo la usajili lilifungwa tarehe 31 mwezi uliopita na kushuhudia timu mbalimbali zikinunua na kuuza baadhi ya wachezaji. Hawa ni baadhi ya wachezaji bora kusajiliwa na timu mbalimbali, na jinsi ambavyo watazisaidia timu zao katika mifumo tofauti. Alexis Sanchez, Ametoka Arsenal na kujiunga katika timu ya Manchester United. Msimu...
EPL

Hawa Wanavuta Mkwanja Mrefu EPL

Soka ni mchezo pendwa sana na yawezekana ndio unaoongozwa, katika michezo yote duniani ni mchezo ambao una umri wa karne moja na miongo miwili toka kuanzishwa kwake mwishoni mwa karne ya 19 Ni mchezo ambao umekuwa ukivutia sana kuutazama, licha matokeo ya kustaajabisha ambayo hutokea kwenye mechi zake lakini pia...
EPL

Kifo Cha Man U Wembley Kilianzia Hapa.

Kipi kilichosababisha Manchester United washindwe? Usiku wa kuamkia leo Manchester United walienda katika uwanja wa Wembley kama wageni wa Tottenham Hotspurs. Uwanja ambao walikuwa hawajawahi kufungwa tangu mwaka 2011 ambapo walifungwa na Barcelona 3-1 katika fainali ya ligi ya mabingwa. Baada ya hapa walishinda mechi 6 huku kila mechi wakifunga...
Ligi Kuu

Tathimini ya mzunguuko wa ligi kuu ya soka Tanzania bara

Mzunguuko wa kwanza wa ligi kuu ya soka Tanzania bara ulikamilika mwishoni mwa juma lililopita huku ukishudiwa na changamoto mbalambali. Simba sc wao wameibuka vinara katika mzunguuko huo wa kwanza, jumla ya alama 35 wamekusanya na kwa hakika msimu huu kikosi chao kimesheheni wacheza nyota hii tofauti sana na misimu...
Ligi Kuu

Emmanuel Martin karidhika, Mwashiuya hana hasira

Geofrey Mwashiuya, alitingisha nchi kipindi cha usajili wake, kijana mdogo kutoka Mbozi ambaye aliifanya mitaa ya Kariakoo kuhamia kwa muda mjini Mbozi. Kila jicho kutoka karikakoo lilimwangalia kwa jicho la matamanio, watu wa Mbozi nao wakawa na viburi baada ya kuona kiwango cha tamaa kimezidi kwa kijana huyu. Kila aliyekuwa...
Ligi Kuu

Simba SC wayanywa maji ya Songea

Kocha mpya wa Simba sc, Pierre Lechentre, amekuwa na mwanzo mzuri baada ya kukiongoza kikosi chake hii leo kwa kuwacha Majimaji FC ya Songea kwa mabao 4-0 katika mchezo wa ligi soka Tanzania bara Simba 4 - 0 Majimaji Kwa ushindi huo, unaifanya Simba kumaliza mzunguuko wa kwanza ikiwa kileleni...
1 109 110 111 112 113 118
Page 111 of 118