Ligi Kuu (Usitumie hii)

Habari za Ligi Kuu maarufu Duniani Ligi Kuu (Premier League) hivyo hapa tunakuletea mkusanyiko wa uchambuzi na matukio yanayohusu Ligi Kuu pekee pamoja na Ligi Kuu Tanzania Bara (Ligi Kuu)

Ligi Kuu

Mashabiki wa Yanga ni mamluki -NUGAZ

Moja ya vitu ambavyo mashabiki wa Yanga walikata tamaaa ni pale timu yao ilipopata suluhu dhidi ya Tanzania Prisons kwenye uwanja wa Taifa. Suluhu ambayo iliwafanya wapate alama mbili katika michezo miwili iliyopita tena katika uwanja wao wa nyumbani wa Taifa jijini Dar es Salaam. Taratibu mioyo yao imeanza kukata...
Ligi Kuu

Yanga timu ya kawaida -KOCHA WA PRISONS

  Jana Tanzania Prisons waliwalazimisha Yanga Suluhu katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam , uwanja ambao unatumiwa na Yanga kama uwanja wa nyumbani. Suluhu ambayo Yanga hawajafurahishwa nayo kutokana na mategemeo makubwa waliyokuwa nayo awali . Yanga katika mechi mbili zilizopita wamefanikiwa kupata alama mbili pekee. Tanzania Prisons...
Ligi Kuu

Niyonzima ndiye mchezaji mwenye akili Yanga- KOCHA WA YANGA

  Jana Yanga wametoka suluhu na Tanzania Prisons na inakuwa mechi ya pili mfululizo kuchukua alama moja baada ya kutoka sare ya (1-1) dhidi ya Mbeya City mechi iliyopita iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa pia. Baada ya mchezo huo kocha wa Yanga alizungumza na vyombo vya habari ikiwemo Kandanda.co.tz iliyoshuhudia...
Ligi Kuu

Yanga haichezi REDE inacheza MPIRA -NUGAZ

Jana kulikuwa na mechi ya ligi kuu Kati ya Yanga na Prisons , mechi ambayo ilihudhuliwa na mtandao wa kandanda.co.tz katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Baada ya mechi ile mtandao huu ulifanya mahojiano na Afisa Mhamasishaji wa klabu ya Yanga ndugu Antonio Nugaz kuhusiana na mchezo huo...
1 2 3 85
Page 1 of 85
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz