EPL

EPL

Uchambuzi wa mechi mbalimbali wa juma hili

ARSENAL vs LIVERPOOL. Arsenal katika mechi hii walitumia mfumo wa 4-3-2-1 wakati Liverpool walianza na mfumo wa 4-3-3, ila walikuwa wanabadirika kulingana na wakati, kuna kipindi walicheza 4-3-2-1 na kuna wakati wakacheza 5-3-2. Liverpool walianza vizuri katika kipindi cha kwanza kwa kumiliki mpira, na kukaba kwa nguvu hali ambayo iliwafanya...
EPL

Moses amedhulumiwa jasho lake

NAPAZA sauti juu yangu nikisema wazi Victor Moses amedhulumiwa jasho lake. Nitasema hivi kokote kule ambako nitaitwa kuelezea amedhulumiwaje. Nitakueleza huko chini. Shusha pumzi kwanza. Haya ipandishe tuendelee. Jina la Moses haliko katika tatu bora ya wachezaji wa Afrika wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka huu. Majina yaliyoko ni...
EPL

Guardiola anapotuumbua wanafiki wake

Mbele ya hadhara Pep Guardiola ameamua kutuumbua wanafiki wake. Ametuumbua na kutuziba midomo kwa vitendo uwanjani sio kwenye ndimi kama sisi tulivyomuhukumu awali. Najisikia aibu kuwa mmoja wao. Pep na Manchester City yake wanafanya vyema. Pep mwenyewe haonekani kujali kwa maneno tuliyowahi kumkosoa nayo siku chache alivyotua uwanja wa Ndege...
EPL

Ubingwa tumuachie Manchester City

Jana kulikuwa na mechi ya Manchester Derby, mechi ambayo ilikuwa inawakutanisha mahasimu wawili ambao msimu huu wanaonekana kama timu ambazo zinauwezo wa kuwa bingwa. Manchester City walifanikiwa kuvunja rekodi ya Manchester United ya kucheza michezo 41 bila kufungwa katika uwanja wao wa nyumbani, na kufanya washinde mechi 8 zote walizocheza...
EPL

Nani atamvunjia rekodi mwenzake?

Leo kuna mechi ambayo inashika hisia za watu wengi wapenda mpira duniani. Mechi hii inakutanisha timu ambazo zinaonekana bora kwa sasa katika ligi kuu ya England, na ndizo timu ambazo zinaongoza mbio za ubingwa wa ligi kuu ya England. Manchester City akiwa anaongoza kwa tofauti ya alama nane dhidi ya...
1 13 14 15
Page 15 of 15
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.