Klabu ya soka ya Atletico Madrid kupitia katika kurasa zake za mitandao ya kijamii imethibitisha kwamba mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa Antoine Griezmann hatokuwa na timu hiyo kwa msimu ujao licha ya kwamba mkataba wake unaisha mwaka 2023. Atletico Madrid imesema kwamba mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 28 tayari...
Kiungo wa timu ya Vissel Kobe ya Japan Andres Iniesta amemshukuru na kumtakia kheri mchezaji Xavier Hernández Creus ‘Xavi’ ambaye ametangaza kustaafu kucheza soka la kulipwa mwishoni mwa msimu huu. Iniesta ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa anajivunia kukua na kucheza pamoja na kiungo Xavi katika timu ya Taifa...
Shirikisho la kandanda nchini Uhispania (RFEF) jana Jumatatu limefanya mabadiliko madogo ya kombe la Mfalme (Copa del Rey) na lile la Hisani (Spanish Super Cup) ambalo huwakutanisha mabingwa wa Laliga na Copa del Rey kuanzia msimu wa mwaka 2019-2020. Kombe la Copa del Rey sasa litachezwa kwa mfumo wa mchezo...
Kocha mkuu wa timu ya soka ya Real Madrid Zinedine Zidane amewashukia wachezaji wake na kuwalaumu kwa kichapo walichokipata usiku wa kuamkia leo dhidi ya Rayo Vallecano kwenye muendelezo wa ligi kuu nchini Uhispani ‘La Liga’. Madrid ilikumbana na kichapo cha 10 msimu huu kwa bao pekee la Adi Embarba...
Baada ya kushuhudia klabu ya soka ya Juventus ikitawazwa bingwa wa ligi kuu ya Italia kwa mara ya nane mfululizo mwishoni mwa Juma lililopita, inawezakana Barcelona nao wakatangazwa mabingwa wa ligi kuu Uhispania usiku huu. Barcelona ambao usiku wa kuamkia leo wamefanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Alaves...
Wachezaji nyota Ulimwenguni Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wanarejea kuzitumikia timu zao za Taifa kwa mara ya kwanza toka kumalizika kwa michuano ya kombe la dunia iliyomalizika mwaka jana nchini Russia. Messi anatarajiwa kuanza kwenye mchezo wa leo Ijumaa ambapo Argentina watacheza dhidi ya Venezuela jijini Madrid kwenye mchuano wa...
Kwa ushirikiano na Rais wa klabu hiyo Florentinop Perez, tayari wameshatenga Paundi millioni 300 zaidi ya shilingi bilioni 930 za kitanzania kwa ajili ya usajili mpya katika dirisha la usajili la kiangazi