Ligi Kuu

Ligi Kuu

Kwenye mechi hii Yanga anaonekana kama kondoo aliyelala

Hapana shaka kesho ni sikukuu ya Simba na Yanga, sikukuu ambayo husimamisha shughuli zote zinazofanyika hapa nchini kwa masaa kadhaa. Mitaa yote hupendezeshwa na bendera za timu hizi mbili, rangi za njano, kijani, nyekundu na nyeupe hutamaraki machoni penu. Hii yote ni kuonesha kuwa timu hizi zinamashabiki wengi kila kona...
Ligi Kuu

Nyundo za Kamati ya Masaa 72 kwa vilabu hizi hapa

Mechi namba 171 (Njombe Mji 0 vs Simba 2). Klabu ya Simba imepigwa faini ya sh. 500,000 (laki tano) kutokana na kuonyesha vitendo vinavyoashiria ushirikina katika mechi hiyo iliyofanyika Aprili 3, 2018 kwenye Uwanja wa Sabasaba mjini Njombe, ikiwemo pia mshabiki mmoja wa timu hiyo kuingia uwanjani na kuchukua taulo la...
Ligi Kuu

Jezi yenye ‘Usimba’ yamponza Zahera

Kocha mpya wa Yanga sc, Mwinyi Zahera, amelazimika kubadili mavazi ikiwa ni siku ya pili tangu kuanza rasmi kukinoa kikosi hicho cha mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Siku ya kwanza alipoanza kukinoa kikosi hicho kilichopiga kambi mjini Morogoro, alionekana akiwa amevalia jezi yenye rangi nyekundu ambayo hutumiwa...
Ligi Kuu

Yanga sc yazidi kuimarika kabla ya Jumapili

Mabingwa wa soka Tanzania bara, Yanga sc, wanaendelea na maandalizi yao ya mchezo dhidi ya mahasimu wao katika soka la Tanzania Simba sc utakaofanyika Jumapili ya Aprili 29, 2018 kunako uwanja mkuu wa taifa Taarifa kutoka Morogoro ambapo kikosi cha timu hiyo kimeweka kambi, zinasema kuwa wachezaji waliokuwa majeruhi Andrew...
Ligi Kuu

“Interview” ya Mrithi wa Lwandamina ni Jumapili hii

Uongozi wa Yanga sc, umemshusha nchini kocha Mwinyi Zahera kutoka Jamhuri ya Kidemoklasia ya Kongo, kwa ajili ya kujiunga na klabu hiyo Taarifa kutoka klabuni hapo, zinasema kuwa kocha huyo ataondoka kesho jijini Dar es salaam kwenda Morogoro ambako kikosi cha timu hiyo kimeweka kambi kujiandaa na mchezo ujao wa...
Ligi Kuu

Nani kuujaza uwanja tarehe 29?

Mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara utakaowakutanisha Simba na Yanga Jumapili Aprili 29,2018 uliopangwa kuchezwa saa 10 jioni kwenye Uwanja wa Taifa Tiketi zinaendelea kuuzwa kupitia Selcom. Yeyote anayetaka kununua tiketi hizo kupitia Selcom anachotakiwa kufanya ni kujaza pesa kwenye kadi yake ya Selcom ambayo inamuwezesha kuweza kununua...
Ligi Kuu

Changamoto ya mabadiliko ya mchezaji wa Mbeya City katika mchezo dhidi ya Yanga.

Katika dakika ya 96, dakika ya mwisho ya nyongeza kati ya dakika 6 alizoongeza mwamuzi Shomari Lawi katika mchezo wa Ligi kuu Vodacom Tanzania bara kati ya Mbeya City na Yanga uliofanyika Aprili 22, 2018, Sokoine, Mbeya ulizuka utata ikidaiwa mchezaji Namba 10 wa Mbeya City aliyefanyiwa mabadiliko alirudi tena...
1 81 82 83 84 85 94
Page 83 of 94