Ligi Kuu

Ligi Kuu

Kuelekea mechi ya watani Yanga sc yapata pigo

Mshambuliaji wa mabingwa soka Tanzania bara Yanga sc, Obrey Chirwa, amefikisha idadi ya kuwa na kadi tatu za njano katika ligi kuu ya Vodacom Tanzania Mshambuliaji huyo tegemeo kunako kikosi cha Yanga kwa sasa, ataukosa mchezo ujao dhidi ya mahasimu wao katika soka la bongo Simba sc, unaotaraji kupigwa Aprili...
Ligi Kuu

Lipuli FC yaikomalia Simba SC

Simba sc, imeshindwa kupata ushindi ugenini dhidi ya Lipuli FC katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara baada ya kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 Katika mchezo huo ulioanza kwa kasi, huku wenyeji wakifaidika na umilliki wa mpira kwa kiasi kikubwa baada ya kufanikiwa kupata bao kunako dakika...
Ligi Kuu

Lipuli FC wajipanga kuivunja rekodi

Uongozi wa Lipuli FC, ya mkoani Iringa umesema kuwa wamekamilisha maandalizi yao na wamejipanga kuvunja rekodi ya Simba sc katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara. Mchezo huo, unaotaraji kupigwa kesho Lipuli itakuwa kunako uwanja wake wa nyumbani wa kumbukumbu ya Samora mjini Iringa kuwakaribisha vinara wa ligi...
Ligi Kuu

Shughuli za kijamii zasogeza mchezo wa Simba sc

Bodi ya ligi ya Shirikisho la soka Tanzania (TFF), limeusogeza mbele kwa siku moja mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kati ya Lipuli FC dhidi ya Simba SC kutoka Aprili 20 hadi 21, 2018 Taarifa iliyotolewa na Ofsa mtendaji mkuu wa bodi, Boniface Wambura Mgoyo, kwenda kwa vilabu...
Ligi Kuu

Mambo 10 muhimu baada ya Simba kuifunga Prisons.

Hii ni kutoka mezani kwa Haji Manara! 1.Ni Dhairi kwamba Groves za Juma Kaseja bado zinaishi kwenye mikono ya Aish Manula kuna safari kubwa sana kwa Nduda ili kukaa kwenye milingoti mitatu usisahau pia Nduda ni mtu hatari sana na yeye. Aishi Manula 2.Pierre Lechantre na Masoud Djuma sina shaka...
1 82 83 84 85 86 94
Page 84 of 94