Yanga vs Singida, utamu wa mechi ulipo.
Ligi Kuu Bara inaendelea kwa mchezo mmoja katika uwanja wa Taifa jijini Dar és salaam, ambapo Yanga inayoshika nafasi ya pili itaikaribisha Singida utd iliyopo nafasi ya tano katika ligi. Mchezo wa kesho unasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa pande zote kwa Yanga na Singida lakini pia na mashabiki wa...