tpl

tpl

Kapombe ni pengo, lakini..!

KWA mara nyingine mlinzi ´kiraka´ wa klabu ya Simba SC na timu ya Taifa ya Tanzania ( Taifa Stars), Shomari Kapombe atalazimika kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu baada ya kuumia kifundo cha mguu Alhamis iliyopita. Kapombe alikanyaga vibaya mpira katika mazoezi ya timu ya Taifa wakati wakijiandaa na...
tpl

Mambo si mambo ndani ya Mbao FC, Amri Said kutimka.

LICHA ya kuanza msimu kwa mwendo wa kuridhisha ikiwemo kuongoza ligi kuu kwa wiki kadhaa, habari za ndani nilizozipata ni kwamba wachezaji wa Mbao FC wameanza kumpa wakati kocha mkuu wa timu hiyo Amri Said ´Stam´. Jumanne hii Amri aliingia katika mzozo na uongozi wake akiwashinikiza kuwalipa mishahara wachezaji wake...
tpl

Singida United kusajili wakimataifa lukuki, mmoja anatokea Norway.

Klabu ya soka ya Singida United ya mkoani Singida imeweka wazi mipango yake katika dirisha dogo la usajili, ambapo imepanga kusajili wachezaji sita pekee huku wanne kati ya hao wakitokea nje ya Tanzania. Mkurugenzi wa Singida United Festo Richard Sanga amesema usajili huo upo katika Programu ya klabu hiyo ‘Make...
tpl

Kanduru arejea kuungana na Dilunga kuwaua Azam FC

BAADA ya kukosa michezo 11 ya klabu yake kutokana na malazi ya ‘Apendex´, mshambulizi wa Ruvu Shooting, Issa Kanduru amejiunga na wenzake kwa ajili ya maandalizi kuelekea mchezo wao wa Alhamis ijayo dhidi ya Azam FC. Kanduru ambaye amecheza michezo miwili tu kati ya 13 ya timu yake katika ligi...
tpluhamisho

MO arudi Prisons, Nchimbi aende JKT, Kaheza akamuokoe Matola.

WAKATI ni timu tano tu zimemudu kufunga magoli 15 ama zaidi katika ligi kuu Tanzania Bara msimu huu, timu nane zimefunga magoli chini ya kumi na nyingine saba zimefunga magoli kati ya kumi-14. Hii inamaanisha kuwa makocha wengi ´wamefeli´ katika mbinu za ufungaji. Katika michezo 11 waliyokwishacheza, mabingwa watetezi Simba...
tpl

Ndayiragije aweka wazi wachezaji atakaowasajili.

Kocha mkuu wa timu ya soka ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) Mrundi Etienne Ndayiragije amesema amependekeza kwa Uongozi kumuongezea wachezaji wanne katika dirisha hili dogo la Usajili ambalo limefunguliwa leo. Ndayiragije amesema anataka kuwa na wachezaji wawili wawili katika kile nafasi na ndiyo maana amepeleka mapendekezo hayo Ili kuweza kujenga...
tetesitpluhamisho

Niyonzima Kurudi Yanga

Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa leo tarehe 15 November. Klabu ya Simba imepokea majina ya wachezaji watano kutoka kwa kocha mkuu wa timu hiyo Patrick Assumes ambao wanatakiwa kupelekwa kwa mkopo katika timu mbalimbali. Niyonzima Moja ya majina ambayo yapo kwenye orodha hiyo ni jina la kiungo wa klabu...
tpluhamisho

Mwashiuya naye kuondoka Singida United.

Kiungo Mshambuliaji Geoffrey Mwashiuya amesema ameshapata ofa kutoka vilabu vitatu mpaka sasa ambavyo vinataka huduma yake katika kipindi hii cha Dirisha dogo la Usajili. Mwashiuya amesema kati ya vilabu hivyo kimoja ni kutoka nje ya nchini na kwamba kutolipwa stahiki zake na waajiriwa wake wa sasa ambao ni Singida United...
tpl

Malimi Busungu: Nimeachana na soka moja kwa moja

MSHAMBULIZI wa zamani wa Manyema FC, Polisi Tanzania, Coastal Union, JKT Mgambo na Yanga SC, Malimi Busungu ameamua rasmi kuachana na soka la ushindani. Busungu ambaye alikuwa akiichezea Lipuli FC tangu msimu uliopita ameuambia mtandao huu Leo Jumanne kuwa ameachana na soka moja kwa moja huku akisita kuweka wazi sababu...
1 2 3 34
Page 1 of 34
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz