Ligi Kuu

Ligi Kuu

AZIZ KI vs KIBU DENIS

Yanga na Simba zinakutana katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC. Ikumbukwe katika mchezo uliopita klabu ya Simba ilitandikwa bao 5-1, na sasa ikiwa kama mwenyeji mambo yatakuwaje? Mtandao wako wa kandanda.co.tz unawapa nafasi mashabiki wake watatu ambao watatabiri kikosi au matokeo wakati wa mchecho huu,...
Ligi Kuu

Kanuni Ligi Kuu: UCHEZAJI WA KIUNGWANA

Mtandao wako wa kandanda.co.tz umekuwekea kanuni za Ligi Kuu Tanzania 2023. Hii ni sura ya kwanza (1) kanuni namba 1. Ambayo inazungumza kuhusu Uchezaji wa kiuungwana. 1: Cheza Kiungwana Ushindi hauwezi kuwa na thamani iwapo umepatikana katika njia isiyo halali au kwa udanganyifu. Kudanganya ni rahisi lakini haileti raha ya...
1 2 3 94
Page 1 of 94