Ligi Kuu

Ligi Kuu

Mbeya City FC yafanya mabadiliko

Klabu ya Mbeya city fc, imefanya mabadiliko katika benchi lake la ufundi kutokana na uhitaji na nafasi; mabadiliko haya yanahusisha nafasi ya Kocha Msaidizi, Meneja wa Timu na Mtunza vifaa. Mwalimu Mohamed Kijuso amerejea katika timu yake ya awali (Timu B) na ataendelea kuwa kocha wa timu hiyo yenye nyota...
Ligi Kuu

Wachezaji Simba wanafahamu thamani na uzito wa jezi wanazovaa?

LEO wacha nimtafune jongoo mbichi, bila kujali ukakasi nitakaoupata katika kinywa. Nina marafiki wengi ambao ni wachezaji wa Simba. Wao wananiheshimu kama Mwandishi nami nawaheshimu kama wachezaji. Lakini leo nimeamua kumtafuna jongoo, si vinginenyo. Simba imeshatua zake Dar es Salaam ikitokea Zanzibar kwenye Michuano ya Kombe la Mapinduzi. Imetua mchana...
Ligi Kuu

Pumzika kwa Amani Athuman Juma Chama “Jogoo”

Tasnia ya michezo ilipatwa na msiba wa mchezaji nguli Athumani Juma "Chama" a.k.a Jogoo mlinzi mahiri aliyepata kuitumikia Dar Young Africans na Timu ya Taifa. Nilikua nikitafuta muda wa kuelezea kwa ufupi umahiri wa huyu Marehemu wakati wa uhai wake, Athumani Juma alianzia Pamba ya Mwanza akihudumu kama beki wa...
Ligi Kuu

John Raphael Bocco nahodha mpya Simba sc

Vinara wa ligi kuu soka Tanzania bara Simba sc, imemteua mshambuliaji wake John Bocco kuwa nahodha mpya wa kikosi cha wekundu hao wa msimbazi, Bocco anachukuwa nafasi iliyoachwa wazi na Method Mwanjale ambaye alitemwa katika usajili wa dirisha dogo Taarifa ya klabu hiyo imesema kuwa, hatua ya kumpa unahodha John...
Ligi Kuu

Simba wakanusha habari ya Okwi na Kwasi kuigomea.

Klabu ya Simba inapenda kukanusha taarifa iliyoandikwa na Gazeti la leo la Bingwa la tarehe 4-1-2018, iliyotoka na kichwa cha habari kikubwa kwenye ukurasa wake kwanza, iliyoandika OKWI, KWASI WAIGOMEA SIMBA. Taarifa hiyo inaeleza wachezaji hao Emmanuel Okwi na Asante kwasi hawatacheza hadi walipwe fedha zao za usajili. Kiukweli taarifa...
Ligi Kuu

Ndanda dhidi ya Simba SC

Bila shaka utakuwa mchezo wenye ushindani mkubwa hasa kwa kuzingatia nafasi katika msimamo wa ligi, na uhitaji wa alama tatu ni changamoto kubwa kuelekea katika mchezo wa leo. Ndanda fc wapo nafasi 11 wakiwa na alama zao 11 hivyo wataingia katika mchezo wa leo kusaka alama tatu muhimu kwao ili...
Ligi Kuu

Simba imechelewa kumfukuza Omog

Ilianza kama tetesi. Ikaja kama uvumi. Hatimaye imekuja kuwa kweli. Simba imeachana na kocha wao Mcameroon Joseph Omog. Kila zuri na baya la Omog litabaki kwenye vitabu vyetu vya kumbukumbu. Binafsi naamini kuna kosa Simba imelifanya juu ya Omog. Kosa lenyewe ni kuchelewa kumfukuza. Nitakuelezea huko chini jinsi ilivyochelewa na...
Ligi Kuu

Nifikishie salamu zangu kwa Rais Karia

Kumekuwa na maneno mengi sana mitandaoni kila mtu akionesha ufundi wake wa kulaumu iwe kwa makusudi ama kwa kutoelewa vizuri taarifa iliyotolewa juu ya michezo ya ndondo kufanyika kwa kibali Wapo wanajaribu kuipotosha jamii.....lakini pia wapo wanaojaribu kuipa elimu jamii kuhusiana na taarifa hiyo iliyotolewa na Tff Tff kimekuwa chombo...
1 81 82 83 84
Page 83 of 84
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.