Ukurasa maalumu kwaajili ya mashindano makubwa yote tunayoweza kuandikia katika bara la Afrika na Ulaya pekee. Mshindano mengine habari zake zinaingia katika sehemu ya Blog
Dismas Kelvin John, Ben Stakie, Haji Mnoga na wengineo wakibadilishana uzoefu na nahodha Mbwana Samatta pamoja na Simon Msuva naamini hatuwezi kupoteza point zote 3.
Kesho twendeni uwanjani tukashangilie timu yetu, hata kama itatokea bahati mbaya tumefungwa itakua ni sehemu ya mchezo maana wakati mwingine mpira una matokeo ya kikatili.