Mataifa Afrika

Mataifa Afrika

Katika dua zetu tusimsahahu mchizi Cape Verde.

Mwaka 1980 fainali za 12 za mataifa ya Afrika zilikuwa zinafanyika nchini Nigeria na kwa mara ya kwanza katika historia ya michuano hii Watanzania tulipata nafasi ya kupeleka timu baada ya Peter Tino kutufungia bao muhimu sana pale mjini Ndola Zambia bao lililotupatia ticket ya kushiriki michuano hii baada ya...
Mataifa Afrika

CAF yaitolea nje Liberia, licha ya tishio la Ebola.

Shirikisho la soka barani Afrika limetupilia mbali ombi la Liberia kubadilisha uwanja utakaotumika kwenye mchezo wao wa kuwania nafasi ya kushiriki kwenye michuano ya Mataifa Afrika dhidi ya DR Congo kutokana na tishio la ugonjwa wa Ebola. Shirikisho la soka nchini Liberia liliandika barua ya maombi ya kubadilisha uwanja kwenda...
Mataifa Afrika

Nguema aondolewa kwenye kikosi cha Taifa.

Beki wa kati Gilchrist Nguema ameenguliwa katika kikosi cha timu ya Taifa cha Gabon kinachojiandaa na mchezo wake wa mwisho wa kufuzu kwenye fainali za Mataifa Afrika (AFCON) dhidi ya Burundi. Nguema ambaye alikuwa miongoni mwa wachezaji 23 walioitwa kujiandaa na mchezo huo wa Machi 23, 2019 mjini Bujumbura, ameondolewa...
1 4 5 6 7
Page 6 of 7