Mashindano

Ukurasa maalumu kwaajili ya mashindano makubwa yote tunayoweza kuandikia katika bara la Afrika na Ulaya pekee. Mshindano mengine habari zake zinaingia katika sehemu ya Blog

Shirikisho Afrika

Simba sc, ni wakimataifa zaidi!

Simba sc, imetinga mzunguuko wa kwanza wa michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika baada ya kuiondosha Gendermarie ya Djibouti kwa ushindi wa jumla wa mabao 5-0. Huo unaweza kuwa ni mwanzo mzuri kwa klabu hiyo ya Tanzania wakishiriki kwa mara ya kwanza baada ya takribani misimu minne kupita, na...
Mashindano

Watani waendelea kuchanja mbuga

Wawakilishi wa Tanzania kunako michuano ya kimataifa Simba na Yanga, wote wanataraji kuanzia nyumbani michezo yao ya mzunguuko wa kwanza mapema mwezi ujao Yanga sc, iliyopo kunako michuano ya ligi ya vilabu bingwa barani Afrika, itakuwa nyumbani kuwakaribisha Township Rollers ya Botswana mchezo unaotaraji kupigwa kati ya March 7, kunako...
Mabingwa Afrika

Yanga sc, sasa ni Sudan ama Botswana

Mabingwa wa soka Tanzania bara, Yanga sc, leo hii imefanikiwa kusonga mbele kunako michuano ya ligi ya vilabu bingwa barani Afrika, baada ya kulazimisha sare ya bao 1-1 na wenyeji St Louis ya Shelisheli Mchezo huo wa mzunguko wa awali wa marejeano ulipigwa kunako dimba la Linite mjini Victoria nchini...
Mabingwa Ulaya

Akili ya Kiitaliano iliamini kwenye miguu yenye Samba

Kwenye mechi kumi (10) kabla ya jana alikuwa amefanikiwa kufunga magoli mawili (2)pekee, hapana shaka tangu kifo cha mama yake kiwango chake kilikuwa cha kupanda na kushuka. Hakuwahi kusimama kwenye kiwango bora kwa muda mrefu mara baada ya mama yake kuachana naye na kwenda kwenye makazi yake ya milele. Alikaa...
Kombe la Dunia

Ujio wa Infantino waja na neema kwa mashabiki

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani FIFA limeongeza tiketi kwa Tanzania kwaajili ya fainali za kombe la Dunia zitakazochezwa Russia mwaka huu, kwa mujibu wa taarifa kutoka shirikisho la soka Tanzania, TFF. Kwa shabiki yeyote anayetaka kwenda kushuhudia fainali hizo za Kombe la Dunia awasiliane na idara ya mashindano ya...
Shirikisho Afrika

SimbaSc Yafikia Hoteli Ya Kifahari Nchini Djibouti.

Kikosi cha Simba sc kipo nchini Djibouti, tayari kwa mchezo wa marejeano wa michuano ya kombe la shrikidho dhidi ya wenyeji wao Gendermarie Kikosi hicho, kilichoondoka mchana wa leo na kupitia Nairobi ambapo walilazimika kusubiri kwa muda mwingi na usiku huu kuwasili salama nchini Djibouti Katika kile kilichooneka kikosi hicho...
Mabingwa Ulaya

Spurs yawangojea Juve waje machinjioni tu!

Hakika ulikuwa ni mchezo mzuri sana, wakuvutia na uliojaa ushindani mkubwa kutokana na namna ambavyo timu zilivyocheza, uwezo wa mchezaji mmoja mmoja na matumizi ya mbinu kitimu ni vitu ambavyo viliingeza ugumu kwenye mchezo huuMIFUMO; Juventus waliingia katika mchezo huu wakitumia mfumo wao wa 4-3-3 flat, kwa maana ya Giorgio...
Mashindano

Kocha St Louis amsifu kipa

Kocha mkuu wa St Louis ya Shelisheli, Ourlie Mathiot, amesema kuwa golikipa wake ndiye alikuwa kikwazo cha Yanga kuweza kupata mabao mengi katika mchezo wa leo uliowakutanisha na mabingwa hao wa Tanzania Katika mchezo huo wa ligi ya mabingwa Afrika hatua ya awali, ambao Yanga wameibuka wababe kwa ushindi wa...
1 37 38 39 40 41
Page 39 of 41
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz