Sportpesa

Sportpesa

Simba SC, kuisaka tiketi ya Liverpool

Mabingwa wa soka Tanzania bara, Simba SC, wanataraji kushuka dimbani leo kuwavaa Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa fainali ya michuano ya Sportpesa Super Cup utakaopigwa majira ya saa 9:00 alasiri kunako uwanja wa Afrah mjini Nakuru Simba SC, imefika fainali baada ya kuzitoa timu za Kakamega homeboys na...
Sportpesa

Sababu tano kwanini Simba atafungwa na GorMahia !

Leo fainali sportpesa inafanyika katika mji wa Nakuru ambapo itazikutanisha timu mbili moja kutoka Kenya ( Gor Mahia ) na nyingine ni kutoka Tanzania ( Simba). Zifuatazo ni sababu ambazo zinanipa imani kuwa Simba atapoteza mchezo wa leo. 1: Faida ya Uenyeji kwa Gor Mahia. Gor Mahia itakuwa katika uwanja...
Sportpesa

Yakubu wa Everton awapotezea kina Nyoni na wenzake.

Baada ya klabu ya soka ya Simba kufanikiwa kuingia katika fainali ya michuano ya Sportpesa Supercup mchezaji wa zamani wa Everton ya England amewapotezea mabingwa hão wa VPL. Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Nigeria "The Super Eagle" na mshambuliaji wa zamani wa Everton ya England  alikuwepo katika...
Sportpesa

Usajili Simba hamna kituu!

Pamoja na kufanikiwa kuingia fainali ya michuano ya Sportpesa Supercup nchini Kenya baada ya kuwafunga wababe wa Yanga Kakamega Homeboys bado usajili wao haujawasaidia. Ikumbukwe mpaka sasa Simba hawajafanikiwa kufunga hata bao moja katika michuano hiyo baada ya kuwatoa pia kwa mikwaju ya penati Kariobangi Sharks katika mchezo wa kwanza...
Sportpesa

Simba SC, kufuata heshima Kenya

Kikosi cha Simba SC, kinataraji kuondoka kesho nchini kuelekea Kenya kwa ajili ya mashindano ya Sportpesa Super Cup iliyopangwa kuanza June 3 mwaka huu jijini Nairobi, Kenya Kikosi hicho, kitaondoka majira ya saa 1:00 asubuhi kwa ndege ya Shirika la ndege la Kenya KQ kikiwa kamili kwa ajili ya kuwania...
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz