Mabingwa Ulaya

Mabingwa Ulaya

PSG yachunguzwa kwa upangaji wa matokeo mechi ya UEFA.

Vyombo vya uchunguzi nchini Ufaransa vimeanza uchunguzi kwa klabu ya Paris Saint Germain iwapo kulikuwa na upangaji wa matokeo katika mchezo dhidi ya Red Star Belgrade katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya. Taarifa kutoka nchini Ufaransa zinasema kuwa katika mchezo huo ambapo PSG walishinda kwa mabao 6-1 kulikuwa...
Mabingwa Ulaya

Hali ya afya ya Keita yazidi kuimarika

Kiungo wa majogoo wa jiji Liverpool Naby Keita, amesema anaendelea vizuri, baada ya kufikishwa hospitali usiku wa kuamkia jana, kufuatia majeraha ya mgongo alioyapata akiwa katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi ya SSC Napoli. Mchezo huo uliomalizika kwa Liverpool kufungwa bao moja kwa sifuri, ulishuhudia kiungo huyo...
Mabingwa Ulaya

Liverpool ‘yafa’ Italia, Barcelona safi! PSG 6!

Kundi A Atletico Madrid 3 - 1 Club Brugge Borussia Dortmund 3 - 0 Monaco Kundi B PSV Eindhoven 1 - 2 Inter Tottenham Hotspur 2 - 4 Barcelona Kundi C Paris Saint Germain 6 - 1 FK Crvena Zvezda SSC Napoli 1 - 0 Liverpool Kundi D Lokomotiv Moscow 0 - 1 Schalke 04 C Porto 1 - 0 Galatasaray...
Mabingwa UlayaMkeka

Wazee wa kubeti, tumewawekea mkeka wa leo!

Bayern Munich vs Ajax. BAYERN MUNICH KUSHINDA. Mechi tano Bayern kashinda 3, sare moja na kafungwa 1. Ajax kashinda 4 kafungwa 1. Bayern hawajawahi kupoteza dhidi ya Ajax kwenye uwanja wake wa nyumbani katika mechi nne zilizopita. Akifunga magoli 11 na kuruhusu 2. Kwenye mechi za kwenye makundi Bayern Munich...
Mabingwa Ulaya

Cristiano Ronaldo ndio ‘kidume’ wa kutupia magoli

Orodha hii ya magoli inahusisha mechi zote ukiondoa za hatua ya kufuzu. Mchezaji Nchi Magoli Michezo Ratio Mwaka Klabu 1 Cristiano Ronaldo  Portugal 120 153 0.78 2003– Manchester United Real Madrid 2 Lionel Messi  Argentina 103 126 0.82 2005– Barcelona 3 Raúl  Spain 71 142 0.5 1995–2011 Real Madrid Schalke...
BlogMabingwa Ulaya

Kane: Sihitaji mapumziko, mbona nipo Fit!

Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tottenham Hotspurs,  Harry Kane amesema anajisikia yupo fit pengine kuliko wakati wowote licha ya kuanza taratibu kwenye ligi kuu soka England . Kane ambaye msimu uliopita alifunga mabao 41, yakiwemo 30 ya kwenye ligi ya England, amefunga mabao mawili tu katika mechi tano ambazo...
Mabingwa Ulaya

Usiku wa Ulaya umerejea tena!

Ule usiku wa Ulaya uliokua unasubiriwa kwa hamu kwelikweli na mashabiki wa dunia nzima umerudi tena. Ligi ya mabingwa Ulaya imerudi tena kwa moto wa hali ya juu kwa ufunguzi wa mechi kali na tamu ambazo zinakata kiu ya kusubiri kwa muda mrefu. Baada ya Real Madrid chini ya kocha...
Mabingwa Ulaya

Nani kupangwa na nani, Klabu Bingwa Ulaya

UHISPANIA: Real Madrid, Atlético Madrid, Barcelona, Valencia UJERUMANI: Bayern München, Borussia Dortmund, Schalke, Hoffenheim UINGEREZA: Manchester City, Manchester United, Tottenham Hotspur, Liverpool ITALIA: Juventus, Napoli, Roma, Internazionale Milano UFARANSA: Paris Saint-Germain, Lyon, Monaco URUSI: Lokomotiv Moskva, CSKA Moskva URENO: Porto UKRAINI: Shakhtar Donetsk UBELGIJI: Club Brugge UTURUKI: Galatasaray CHEKI: Viktoria...
1 2 3 4 5 6
Page 4 of 6