URUSI 2018

URUSI 2018

Vifahamu viwanja kwa picha Kombe la Dunia Urusi.

MOSCOW: Luzhniki Stadium (Picha ya juu) | Uwezo: 80,000 viti | Ulifunguliwa: 1956 Mechi: 14 Juni 2018 18:00 – Russia vs Saudi Arabia – Kundi A 17 Juni 2018 18:00 – Germany vs Mexico – Kundi F 20 Juni 2018 15:00 – Portugal vs Morocco – Kundi B 26 Juni 2018 17:00 – Denmark...
URUSI 2018

‘Msituumizie’ katika kombe la Dunia

Timu ya Taifa ya Uingereza itashiriki pia katika michuano ya kombe la dunia huko Urusi. Kocha mkuu wa kikosi hicho, Gareth Southgate, ameruhusu wachezaji wake kuongozana na Wake na Wapenzi  (WAGs -Wife and Girlfriends) wao katika michuano hiyo. Hapa tumekuwekea picha ya warembo mbali mbali ambao huenda wakawasindikiza nyota wa michuano...