Tahariri

BlogTahariri

Mashabiki tuanze kujichanga mapema!

Mshabiki wa timu ya taifa Tanzania, Taifa Stars, ni vema kuanza kujichanga mapema, kwakuwa mlango wetu wa kwenda AFCON 2019 upo Lesotho. Huu ni wito tu kwa mashabiki wa kandanda Tanzania, huko twende tukawape nguvu mashujaa wetu huko ugenini ili tuje tusherehekee kwa nguvu dhidi ya Uganda hapa nyumbani. Tanzania...
Tahariri

Tunawekeza ubora wa paa la Taifa Stars na kusahau msingi.

Fikiria neno "hatua" ni neno dogo lakini ndilo limebeba tafasri halisi ya neno maendeleo. Maendeleo ni wingi wa hatua zinazopigwa kimahesabu, haijalishi ukubwa wa hatua ambazo mtu anapiga cha muhimu ziwe hatua za kwenda mbele. Katika safari ya maisha ni ngumu kuanzia hatua ya tano bila kuanza hatua ya kwanza....
Tahariri

Nini kifanyike ili Tanzania tupige hatua katika soka

Mchezo wa soka ni taaluma kamili inayojitegemea ambayo ina misingi yake mikubwa kwenye soka la vijana, ambayo wachezaji wadogo au vijana huanza hatua yao ya kwanza kwenye soka, lazima tukubali kuwa hakuna njia ya mkato kwenye mchezo soka, nchi yoyote inayotaka mafaniko yake lazima ipite katika misingi sahihi Katika kipindi...
Tahariri

Msimamo wa Tovuti

Huu ni ukurasa maalumu wa msimamo wa tovuti ya Kandanda.co.tz katika maswala yanayohusu mpira wa mguu. Tahariri hizi zinaandaliwa kwa lengo la kuelimisha, shauri, kutoa maoni au kuonya katika mambo yanayohusu mpira wa miguu....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.