tetesi

Breaking news zote ambazo hazijawa confirmed

tetesitpluhamisho

Niyonzima Kurudi Yanga

Dirisha dogo la usajili linatarajiwa kufunguliwa leo tarehe 15 November. Klabu ya Simba imepokea majina ya wachezaji watano kutoka kwa kocha mkuu wa timu hiyo Patrick Assumes ambao wanatakiwa kupelekwa kwa mkopo katika timu mbalimbali. Niyonzima Moja ya majina ambayo yapo kwenye orodha hiyo ni jina la kiungo wa klabu...
tetesiuhamisho

Humoud apata timu

Baada ya kuondolewa katika klabu ya KMC, Humoud Abdulkarim Ali, , kwa sababu nyingi ikiwemo kusumbua wake za wachezaji wenzake, inasemekana amepata timu. Tetesi ambazo tumepata zinasema Humuod atajiunfa na klabu ya Coastal Union kutoka Tanga. Humud alitolea maelezo tuhuma alizopew na KMC na kuzikana zote....
tetesiuhamisho

Chirwa kutua Azam Fc

Aliyewahi kuwa mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Obrey Chirwa inawezekana akatua katika klabu ya Azam FC. Taarifa za ndani zinasema kuwa mpaka sasa Obrey Chirwa ana nafasi kubwa ya kutua kwenye timu hiyo yenye makazi yake Chamanzi, Dar-es-Salaam. Obrey Chirwa aliachana na Klabu ya Yanga mwishoni mwa msimu uliopita na...
tetesitpl

Mshambuliaji wa Simba ana ofa tano mezani!

Mshambuliaji wa zamani wa Tanzania Prisons, Mohamed Rashid, aliekosa nafasi katika klabu yake ya sasa ya Simba Sc amepata nafuu baada ya klabu mbalimbali za Ligi Kuu Bara kuonyesha nia ya kumuhitaji kwa mkopo. Mohamed Rashid ameonekana kua lulu kwa baadhi ya vilabu wakitaka huduma yake huku baadhi ya vilabu...
tetesiuhamisho

Mshambuliaji wa Simba kutua KMC

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba sc  Elius Maguri huenda akajiunga na timu ya Manispaa ya Kinondoni (KMC). Elius Maguri ni kama wamemalizana kila kitu na KMC huku likisubiriwa dirisha dogo la usajilii lifunguliwe ili aweze kuitumikia timu yake hiyo mpya. Na leo alikuepo jukwaani kushuhudia mchezo kati ya...
tetesitpl

Baada ya tishio la BMT, Manji kurejea rasmi Yanga

Baada ya jana Baraza la michezo Tanzania (BMT) Kuitaka klabu ya Yanga kufanya uchaguzi kuziba nafasi za viongozi ambao walijiudhulu na kuacha nafasi hizo wazi, kuna taarifa ya kuwa aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo Yusuph Manji anatarajia kurejea rasmi katika klabu hiyo. Yusuph Manji ambaye aliandika barua ya kujiudhulu Uenyekiti...
1 2
Page 1 of 2
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz