Uhamisho

Dondoo, Taarifa, Uchambuzi na Matukio yanayohusu uhamisho wa wachezaji Ligi zote Ulimwenguni

Uhamisho

Kiraka wa Simba atua Namungo fc.

mchezaji huyo wa zamani wa Simba sc na Mbao mwenye uwezo wakucheza kama kiungo pia amesajiliwa na Namungo kwenda kuziba nafasi ya Paul Ngalema ambae tetesi zinasema huenda akarudi katika klabu yake ya Lipuli fc. 
Uhamisho

Kocha mpya wa Yanga ana damu ya kubeba VIKOMBE

Yanga imemtangaza rasmi Mrithi wa Mwinyi Zahera ambaye alikuwa kocha wa Yanga , Baada ya Mwinyi Zahera kuachana na Yanga , Yanga walibaki na Charles Boniface Mkwasa kama kocha wa muda. Wamemtaja rasmi Kocha mpya ambaye ni Luc Eymael , ni kocha ambaye ana uzoefu mkubwa sana na soka la...
Uhamisho

Baada ya kutemwa Yanga, Juma Balinya asajiliwa timu kubwa!

Mwanzoni mwa msimu huu Yanga walimsajili aliyewahi kuwa mfungaji bora wa ligi kuu ya Uganda 2018/2019 akiwa na timu ya Police ya Uganda , Juma Balinya. Juma Balinya alikuja kuziba nafasi ya mshambuliaji Makambo ambaye alisajiliwa na timu ya Horoya ya nchini Guinea lakini Juma Balinya hakufanikiwa  kufanya vizuri. Balinya...
1 2 3 11
Page 1 of 11
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz