Uhamisho

Dondoo, Taarifa, Uchambuzi na Matukio yanayohusu uhamisho wa wachezaji Ligi zote Ulimwenguni

EPLUhamisho

David de Gea mlango uko wazi

Kwa mara ya kwanza, Jose Mourinho, kocha wa Manchester United, amekiri kuwa ana wasiwasi David Degea hataweza kuongeza mkataba wake wa kuitumikia Manchester United, imeripotiwa. Mkataba wa Degea unaisha katika majira ya joto, na katika mkataba huo kuna kifungu kinachoiruhusu Man Utd kumuongezea mkataba wa hadi miezi 12. Degea toka...
Uhamisho

Yanga wamkosa Djuma

Aliyewahi kuwa kocha msaidizi wa timu ya Simba, Masoud Irambona Djuma, amepata timu nchini Rwanda kwa mkataba ambao ni " mnono" kwa mujibu wa vyanzo vyetu. Irambona Masoud Djuma amesaini mwaka mmoja kuinoa timu ya AS Kigali. Ataanza kazi rasmi leo bila winga wa kushoto mrundi Emmanuel Ngama aliesajiliwa na...
Ligi KuuUhamisho

Vicent Bossou; Nipo tayari kurejea Yanga

MLINZI wa kati wa Kimataifa wa Togo, Vicent Bossou amesema yupo tayari kurejea Tanzania kucheza soka lakini kipaumbele chake kikubwa ni klabu yake ya zamani Yanga SC na Azam FC iliyo chini ya Mholland, Hans van der Pluijm. Akizungumza na www.kandanda.co.tz akiwa Vietnam anakocheza hivi sasa mlinzi huyo mwenye uwezo...
BlogUhamisho

Batambuze atua Gor Mahia, Manyika anakaribia Leopards

Wakati ripoti ya Singida United ikisema wachezaji waliojiweka kando klabuni hapo kwa madai ya kimaslai watarejea kuendelea na majukumu yao, mlinzi wa pembeni raia wa Uganda, Shafiq amejiunga na mabingwa mara nne mfululizo wa Kenya- Gor Mahia FC. Wakati mlinzi huyo bora wa kushoto katika ligi kuu Tanzania Bara msimu...
EPLUhamisho

Olympiakos wamkana Yaya Toure

Uongozi wa klabu ya Olympiakos ya Uguriki umeshindwa kutoa tamko lolote, baada ya kuhusishwa na mpango wa kutaka kumrudisha kiungo kutoka Ivory Coast, Yaya Toure. Toure, ambaye kwa sasa ni mchezaji huru, baada ya kuachwa na mabingwa wa soka nchini England Man City mwishoni mwa msimu uliopita, amekua katika harakati...
Uhamisho

Manchester United kukamilisha usajili wa kiungo

Kiungo wa Kimataifa wa Brazil anayekipiga katika klabu ya Shakthar Donetsk, Frederico Santos, ameonekana akiingia katika viwanja vya mazoezi vya klabu ya Manchester United kwa ajili ya kukamilisha usajili wake Fred, anatarajia kufanyiwa vipimo vya afya siku ya leo na kutambulishwa rasmi kuwa mchezaji halali wa klabu ya Manchester United...
Uhamisho

Liverpool bado yasuasua kwa Fekir

WAKALA wa mchezaji Nabil Fekir, amethibitisha kwamba klabu ya Liverpool hakuna walichokifanya mpaka sasa katika mahitaji ya kuwa na mchezaji huyo anayekipiga katika klabu ya Lyon katika Ligi kuu ya Ufaransa Fekir ambaye alifunga mabao 18 ya ligi katika msimu uliomalizika akiwa na Lyon katika Ligi kuu ya Ufaransa, ambapo...
Uhamisho

Ngassa alitakiwa aje Yanga kama kocha mchezaji.

Mrisho Khalfan Ngassa jina ambalo liliandikwa katika mioyo ya mashabiki wa Yanga, ni ngumu kulifuta katika mioyo yao kwa sababu mhuri wa moto ulitumika kuweka chapa ya jina la Mrisho Ngassa kwao. Chapa ambayo ilitokana na kiwango cha wakati huo cha Mrisho Khalfan Ngassa, kiwango ambacho ƙkilimpa heshima ambayo ilimfanya...
1 9 10 11 12 13 15
Page 11 of 15
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz