Mrisho Khalfan Ngassa jina ambalo liliandikwa katika mioyo ya mashabiki wa Yanga, ni ngumu kulifuta katika mioyo yao kwa sababu mhuri wa moto ulitumika kuweka chapa ya jina la Mrisho Ngassa kwao. Chapa ambayo ilitokana na kiwango cha wakati huo cha Mrisho Khalfan Ngassa, kiwango ambacho ƙkilimpa heshima ambayo ilimfanya...
Beki wa kutumainiwa wa mabingwa wa zamani wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara Yanga SC, Kelvin Patrick Yondan, amemalizana na uongozi wa klabu hiyo baada ya kusaini mkataba hii leo Yondan, amemaliza tetesi iliyoenea kwa takribani wiki mbili kuhusiana na yeye kuondoka kunako klabu hiyo huku akihusiswa kujiunga na...
Beki wa Timu ya soka ya Stand United ya mkoani Shinyanga Ally Ally amesema ataendelea kuitumikia timu yake katika msimu ujao wa ligi licha ya Vilabu kadhaa kuonesha nia ya kuhitaji huduma yake. Ally ambaye alijiunga na Stand United akitokea timu ya soka ya Gulioni ya Zanzibar amesema kama itakuwa...
Klabu ya Singida utd leo imezungumza na waandishi wa habari na kufafanua mambo mbalimbali yanayohusu klabu kuelekea fainali ya Azamsports FederationCup itayopigwa June 2 Arusha katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Moja ya habari kubwa ni kuweka wazi usajili wao msimu ujao huku ikiwapiga bao Yanga kwa mnyakua winga wa...
Mshambuliaji wa Lipuli fc ya Iringa Adam Salamba ni rasmi sasa atajiunga na SimbaSc baada ya kukubali kusaini kandarasi na mabingwa hao wapya wa VPL. Mshambuliaji huyo anaesifika kwa matumizi ya nguvu amejiunga na klabu ya Simba kwa mkataba wa miaka miwili huku akizoa donge la milioni 40 kwa kusaini...
"Kwa mara ya kwanza nimemuona namba 9 halisi" haya ni maneno ya kocha wa Mbeya City , Ramadhani Nswazurimo baada ya mechi ya Mbeya City na Lipuli. Shinyanga ndiyo sehemu sahihi ambayo unaweza kupata historia ndefu ya Adam Salamba. Mchezaji ambaye hatua zake zinavutia sana kuelekea kwenye njia za mafanikio....
Klabu ya soka ya Liverpool ya England imefanikiwa kumsajili kiungo wa Brazil Fabinho aliekua Mónaco ya Ufaransa kwa ada ya €45 milioni kwa mkataba wa miaka mitano. Mbrazil huyo aliechezea timu yake ya Taifa mara nne anaweza kucheza pia kama beki wa kulia amesema " Nimesisimkwa kutokana na huu uhamisho....
Mshambuliaji wa Majimaji Marcel Boniventure Kaheza "Rivaldo" mwenye mabao 13 katika VPL ni swala la muda tuu kupewa jezi ya Simba rasmi. Mchezaji huyo wa zamani Simba ni kama anarudi nyumbani baada ya kukitumikia kikosi hicho alipokua kinda akiwa Simba B, kabla ya kutolewa kwa mkopo kwenda Majimaji ilipopanda daraja...
Kiungo mshambuliaji wa Simba Mohamed Ibrahim "Mo" anakaribia kujiunga na Yanga sc akitokea kwa mahasimu wao Simba sc mwishoni mwa msimu huu. Mkataba wa Mo Ibra na Simba unaisha mwisho wa msimu huu hivyo yupo huru kuongea na timu yoyote inayotaka huduma yake. Na hivyo kuipa nafasi klabu ya Yanga ...
Baada ya kuvunja mkataba wake na klabu ya Yanga kutokana na kutokuitumikia kwa muda mrefu mshambuliaji Mzimbabwe Donald Ngoma ni rasmi sasa amejiunga na klabu ya Azam fc kwa mkataba wa mwaka mmoja. Tovuti hii mwanzo iliandika tetesi za mshambuliaji huyo kujiunga na Wanalambalamba hao lakini sasa ni rasmi amesajiliwa...