Manchester United kukamilisha usajili wa kiungo
Kiungo wa Kimataifa wa Brazil anayekipiga katika klabu ya Shakthar Donetsk, Frederico Santos, ameonekana akiingia katika viwanja vya mazoezi vya klabu ya Manchester United kwa ajili ya kukamilisha usajili wake Fred, anatarajia kufanyiwa vipimo vya afya siku ya leo na kutambulishwa rasmi kuwa mchezaji halali wa klabu ya Manchester United...