Uhamisho

Dondoo, Taarifa, Uchambuzi na Matukio yanayohusu uhamisho wa wachezaji Ligi zote Ulimwenguni

Uhamisho

Donald Ngoma atemwa na Azam Fc

Aliyewahi kuwa mshambuliaji Yanga , Donald Ngoma ambaye kwa kipindi hiki alikuwa kwenye timu ya Azam FC ameachana na klabu hiyo yenye maskani yake Chamazi , Mbagala jijini Dar es Salaam.   Mshambuliaji huyo ambaye amekuwa akisumbuliwa na majeraha ya goti tangu akiwa Yanga , Azam FC walimsajili akiwa na...
Uhamisho

Morrison ni mali ya Yanga, Simba wanajisumbua

Wiki iliyopita baada ya Bernard Morrison kutopokea simu ya kocha mkuu wa Yanga , Luc Eymael na kushindwa kwenda Shinyanga kwa ajili ya mechi dhidi ya Mwadui FC kuliibuka na tetesi nyingi za Bernard Morrison kwenda Simba.   Tetesi ambazo zilikuwa na tairuki kubwa sana kwa mashabiki wa Yanga kwa...
Uhamisho

Hassan Kessy kurudi Yanga ?

Beki wa zamani wa klabu ya Yanga Hassan Kessy ambaye kwa sasa ajamalizia msimu wake na timu ya Nkana FC ya Zambia anaweza akarejea katika klabu yake ya zamani ya Yanga. Hassan Kessy ameutaarifu mtandao huu kuwa kwa sasa anachosubiri tu mkataba wake uishe ili aone sehemu gani sahihi ambayo...
Abdulhalim akiwa na wachezaji wenzake wa Mtibwa
Uhamisho

Abdulhalim Humoud tunamuuza nje na siyo Yanga- Mtibwa Sugar

  Baada ya jana mtandao huu kukuletea taarifa ya Yanga kumtaka Abdulhalim Humoud kutoka katika klabu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro na viongozi kukaribisha mazungumzo kati yao na klabu inayomtaka. Kupitia Afisa Habari wa klabu hiyo Thobias Kifaru , amezidi kuuambia mtandao huu kuwa klabu hiyo ya Mtibwa Sugar iko...
1 2 3 4 15
Page 2 of 15
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz