Uhamisho

Dondoo, Taarifa, Uchambuzi na Matukio yanayohusu uhamisho wa wachezaji Ligi zote Ulimwenguni

Uhamisho

Bakari Mwamunyeto, beki ghali Tanzania

Jana Yanga imekamirisha usajili ambao ulikuwa unasubiriwa kwa hamu wa beki kisiki wa Coastal Union na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Bakari Nondo Mwamunyeto. Beki huyo ambaye alikuwa anawaniwa pia na mahasimu wakubwa wa Yanga ambao ni Simba. Yanga imewazidi Simba kwenye mbio hizi na kuhakikisha kuwa wamempata...
Uhamisho

Ni hasara kwa Simba kumsajili TSHISHIMBI

Kumekuwa na mgogoro kati ya uongozi wa Yanga pamoja na kiungo wao ambaye ni nahodha wa timu hiyo Papy Kabamba Tshishimbi. Mgogoro huu unatokana na pande zote mbili kuvutana kuhusiana na suala la kuongeza mkataba mpya. Mkataba kati ya Papy Kabamba Tshishimbi na Yanga unamalizika tarehe 12/08/2020 . Uongozi wa...
Uhamisho

Azam yamtema golikipa wao, Razack Abarola

Klabu ya soka ya Azam FC imeamua kuachana na golikipa wa kimataifa kutoka Ghana , Razack Abalora. Golikipa huyo amedumu na kikosi hicho kwa muda wa misimu mitatu huku akiidakia Azam FC kwa kiwango kikubwa. Katika nyakati zake wakati akiwa Azam FC aliiwezesha Azam FC kushinda kombe la Kagame Cup...
Uhamisho

Azam fc yawazidi Yanga kwa Awesu

Klabu ya soka ya Azam FC imefanikiwa kumsajili kiungo Awesu Awesu kutoka Kagera Sugar. Mchezaji huyo amejiunga na klabu ya Azam FC kwa mkataba wa miaka miwili. Awali kulikuwa na taarifa ya Yanga kumwihitaji Awesu Awesu lakini inavyoonekana Azam FC imeshinda mbio hizi za kumsajili Awesu Awesu. Awesu Awesu aliwahi...
Uhamisho

Tshishimbi kuondoka Yanga, arudisha pesa za GSM

Kiungo mahiri wa klabu ya Yanga Papy Kabamba Tshishimbi ameshamaliza mkataba na Yanga , mpaka sasa hivi inavyoonekana hakuna mazungumzo ambayo yameshafanyika kati yake na Yanga kuhusu kuongeza mkataba. Papy Kabamba Tshishimbi alifanya mazungumzo na mtandao huu wa www.kandanda.co.tz , kwanza alisema msimu uliopita ulikuwa mbaya kwake. "Nashukuru Mungu msimu...
Uhamisho

Simba yawapora mchezaji Yanga !

Simba inaendelea na usajili kwa ajili ya kujiimalisha na msimu ujao ambapo itashiriki ligi ya mabingwa barani Afrika pamoja na ligi kuu Tanzania bara. Mpaka jana klabu ya Simba ilikuwa imefikia hatua nzuri ya kumsajili kiungo mshambuliaji wa KMC FC Charles Martin Ilanfia. Awali Charles Martin Ilanfia alikuwa akitakiwa na...
Uhamisho

Siondoki Yanga -Tshishimbi

Kuna hadithi mbili mpaka sasa hivi ambazo hazieleweki kwenye klabu ya Yanga. Hadithi ya kwanza ni ya Yanga na Bernard Morrison.  Kila upande wa hadithi hii unadai hauna makosa kwenye changamoto wanazopitia. Yanga wanadai wako na mkataba na Bernard Morrison unaoisha mwaka 2022 wakati Bernard Morrison anadai mkataba alionao unaisha...
Uhamisho

Donald Ngoma atemwa na Azam Fc

Aliyewahi kuwa mshambuliaji Yanga , Donald Ngoma ambaye kwa kipindi hiki alikuwa kwenye timu ya Azam FC ameachana na klabu hiyo yenye maskani yake Chamazi , Mbagala jijini Dar es Salaam.   Mshambuliaji huyo ambaye amekuwa akisumbuliwa na majeraha ya goti tangu akiwa Yanga , Azam FC walimsajili akiwa na...
1 2 3 4 5 16
Page 3 of 16
Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu. Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari@kandanda.co.tz