Blog

Kikosi cha Uingereza chatajwa

Sambaza....

Katika michuano ya kuwania kufuzu kwa michuano ya Ulaya, Rice, Luke Shaw wamejumuishwa kwenye kikosi cha Uingeleza

Mchezaji Declan Rice wa West Ham United ametajwa katika kikosi cha Uingereza kwa ajili ya michezo ya kuwania kufuzu Euro 2020 dhidi ya Jamhuri yq Czech na Montenegro

Baada ya kubadili uraia Februali, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 kwa sasa atakua sehemu ya kikosi cha Uingeleza. Fifa wamethibitisha kiungo huyo ni mzaliwa wa Uingeleza, alikua na nafasi ya kuingia Uingeleza mapema mwezi huu licha kuitumikia Ireland

Kikosi kamili kilichotajwa na kocha Gareth Southgate ni walinda mlango, Jack Butland, Tom Heaton, Jordan Pickford

Walinzi: Trent Alexander-Arnold, Chilwel, Danny Rose, Luke Shaw, John Stones, James Tarkowski, Kieran Trippier

Viungo: Ross Barkley, Dele Alli, Eric Dier, Jordan Henderson, Ruben Loftus-Cheek, Declan Rice

Washambuliaji: Harry Kane, Marcus Rashford, Raheem Sterling, Callum Wilson


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.