Blog

Kocha Zambia aahidi kufanya vizuri

Sambaza....

Timu ya taifa ya Zambia “Chipilopolo” ipo chini ya kocha Agrey Chiyangi, na amesema kua atafanya kazi nzuri katika nafasi yake kama kocha wa timu hiyo

Bosi huyo wa Green Eagles anaamini kua amechaguliwa kocha wa muda kutokana na kile alichokionesha Copper Bullets na chama cha soka kinamtumia na kitakua kiini cha kuchochea

“Kutumika katika taifa ni nzuri sana na ni sababu inayoamasisha, unajua wakati unapochaguliwa kuwa watu wawe na imani kwako kwamba unaweza kufanya kitu kwa taifa. Ni radhi Mimi kurudi na nitakupa kilicho bora” alisema Chiyangi

Chiyangi atasababisha mabingwa hao wa Afcon 2012, kufuzu kutoka kwenye kundi lao K dhidi ya Namibia mchezo utakaopigwa kunako uwanja wa taifa wa Zambia mnamo Machi 24


Sambaza....
Tafadhali tumia viungo vya mitandao ya jamii kusambaza.