Tovuti ya Kandanda.co.tz ilianzishwa Mwezi Mei, mwaka 2010, ilianza kama ‘blog’ ikiwa na lengo la kukusanya Habari za mpira wa miguu na kuziwasilisha kwa wasomaji wake. Tovuti ilikuwa inakurasa katia Mtandao wa kijamii wa Facebook, ikiwa na lengo la kuongeza wasomaji katika tovuti hii. Tovuti hii ipo chini ya GALACHA Co. LTD (2014), unaweza pitia Sera yetu ya Faragha na Masharti ya Matumizi.

Lugha kuu ya tovuti imekuwa ni Kiswahili, na wakati mwingine imewahi kuwa na mfumo wa lugha mbili, Kiingereza na Kiswahili.

Kwa muda wote huu mpaka sasa tovuti imebaki kuwa na nia moja tu ya kukusanya Taarifa zote zinazohusiana na mpira wa miguu.

Lengo kuu muda wote ni tovuti kuwa Sehemu ya Habari zote zinazohusiana na mpira wa miguu Tanzania na Duniani, ikiwa pamoja na uchambuzi, matokeo, ratiba, msimamo, video na picha, bila kusahau matukio yote yanayohusiana. Kuwafikia wasomaji wetu katika njia zote ni moja kati ya madhumuni yetu, hii ikiwa na maana kuwafikia wanaosoma kupitia Simu, Komputa na hapo baadae katika gazeti.

Kwa maelezo zaidi au Malalamiko kuhusu makala au uandishi wetu, usisite kuwasiliana nasi kupitia anuani hii:

habari@kandanda.co.tz


TIMU YETU


 Nafasi  
Manager/Msimamizi:  
Editor/Mhariri:  
Art editor:  
Social media editor:  Maneno Hamis
Photographer:  
Staff Writer/Mwandishi:  Thomas Mselemu
Pundit/Mchambuzi:  Abdallah Saleh
Pundit/Mchambuzi:  Martin Kiyumbi
Pundit/Mchambuzi:  

 

Don`t copy text!