Timu hizo zimegawanyika katika makundi mawili yaani kundi A na B. Ambapo washindi wawili (wa kwanza na wapili) kila kundi watapata nafasi ya kufuzu nusu fainali.
Nawaomba msiuite uwanja huu kwa mchina, uwanja huu hatukupewa zawadi na China, usijenge “concept” kwa watoto kuwa tulipewa zawadi, unaitukana kodi ya Mtanzania”