Katika mchezo huo Inonga na Onyango walicheza dakika zote tisini na kufanikiwa kulinda ngome yao na kumaliza mchezo kwa mara ya kwanza bila nyavu zao kutikiswa
Katika mchezo mwingine wa kundi hilo Raja Casablanca atamkaribisha Horoya kutoka Guinea katika dimba la Mohamed VI mabapo Vipers alisuulubiwa kwa mabao matano kwa sifuri.
Lakini endapo Simba watapata sare ama kupoteza maana yake ndoto zao zakufika nusu fainali mwaka huu zitakua zimekufa rasmi bila kujali matokea ya Horoya dhidi ya Raja.