Hii itakuwa fainali ya pili mfululizo kwa Wydad na ya tatu dhidi ya Al Ahly, msimu uliopita wawili hao walikutana na Wydad waliibuka washindi kwa na kutwaa kombe hilo.
Michezo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika imemalizika rasmi Jumamosi na tayari vilabu vinne vitakavyocheza nusu fainali vimeshafahamika wakisuburi tu wakati wa mitangange hiyo kupigwa. Timu nne zilizofuzu ni Wydad Casablanca, Al Ahly, Esperence de Tunis zote kutoka Afrika Kaskazini na Mamelodi Sundowns kutoka Afrika Kusini, wakiwaacha Simba...