amekua akizivutia klabu za hapa nchini kwa nyakati tofauti kutokana na uwezo wake mkubwa japo mara kadhaa Simba na Yanga zimekua zikishindwa kutokana na dau lake kubwa
Mashabiki wametambua nguvu yao katika mchezo huu na wametambua kuwa hiki ndo kipindi timu yao inawahitaji zaidi Uwanjani.
Ndo maana wamenunua tiketi kwa wingi tena ndani ya muda mfupi.
Michezo yote sita (miwili ya ndani) ni muhimu kwa Simba katika kuamua mbio zao za ubingwa dhidi ya Yanga lakini pia michezo mitatu ya Kundi D itaamua kama watafuzu tena na kwenda robo fainali ya Ligi ya Mabingwa.